Nilimwambia atakufa akafa kweli

[emoji2] [emoji2] usipasuke mkuu, hiyo ilitokea by coincidence tu, ila huwa inatokea tu, labda cha muhimu ni kuchunga ndimi zetu,
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Manung'uniko! Majuto! Masikitiko dhidi ya uonevu flani, huwa ni dua tosha kwa muumba dhidi ya mtesi wako! Pile kwa masahibu kaka.

Mungu aliskia Majuto yako. Akatenda. Kuna mtu "hapa" anajutwa kila uchao, sijui mwisho wake utakuwaje!
 
Kwahiyo ukaamua kumchukua msukule kabisa! Hayo maneneo uliyatamka ukijua kabisa nn kitafuata
 
Mmh hapana kwakweli siwezi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ombi kutoka kwako Brother Mshana Jr, kama unaweza kutueleza namna mtu anavyo chukuliwa Msukule katika Mkoa wa Tanga.

Nimeomba hivyo kwani natambua na kuamini kila Mkoa Waganga/Wachawi wana namna katika mbinu na Madawa kufikia Lengo.

Natanguliza Shukurani Mshana Jr, nikiwa na imani kubwa ombi langu utalifanyia kazi.

Samahani kwa kuingilia/kuchanganya mada..!
 
Sorry for late reply... Karibia mikoa yote wanafanana fanana na mara nyingi wanatumia sana nyayo kivuli na mgomba
 
mshana mshana mshanaaaa.....angalia mdomo huo ndugu yangu......[emoji19]
 
mshana mshana mshanaaaa.....angalia mdomo huo ndugu yangu......[emoji19]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…