..nilimsahau but amejileta tena..

mwanamke asiyekujali ktk magumu siyo ukipungukiwa atakudhalilisha kuliko awali temana nae huyo tafuta binti mwingine
 
ndugu utatendwa tena hakuwahi kukupenda nataka kupoza machungu nakwambia hivyooo ukijiloga tu kuwa nayee atakuwa anakutawala
 

Pure Mathematics nionavyo mkubalie kwa sababu ni mkweli na mkweli ni kipenzi cha Mungu huyo siyomnafiki atakufaa sana. Huyo mzee mwenye mapingamizi mweke kando kwanza fuatilia hii dili ujue inakupeleka wapi.....
 
kula mzigo sepa, pesa hzo zmemfanya aje kwako .kumbuka mmachame hyo ana bomu siku atalilipua .
 
Achana nae. Hakuna mjadala hapo kwamba umrudie au la! Brother inaonekana huna uzoefu na hawa viumbe, pliz as your friend here "mind your business". Piga moyo konde, usitake kumwonea huruma. Naona we una huruma sana na ndo maana alipolia uliguswa. Nakuhakikishia kulia ni jambo mtu aloweza kulifanya ili kupata huruma fulan na ana uwezo wa kujizua asilie.
Next time utarudi hapa kutueleza yatakayokusibu. Na kama utaamua kumrudia mtu kisa kakulilia na yupo tayari kuolewa, utawaoa wangapi. Hata huyo mliezinguana anaweza kuja siku moja akalia pia. Sasa sijui huyo nae utafanyaje!
Mnasoma, ila hamuelimiki!! We unataka kumwoa mtu kwa kumwonea huruma!! Wapi akili yako imeenda??
Ikomboe akili yako kwanza, haya uliyoleta hapa hayatajirudia kamwe!! All the best
 
..."Nataka kulewa" (By Diamond) ndo utakuwa wimbo wako pendwa!..
 
yani kazunguka kooote huko sasa anataka kwa kupumzikia..kama vipi piga chini..maana..ukibisha jiandae kujenga kwao, kumkabidhi mali zako zote, bi mkubwa wako au ndugu zako watakua hawaji kwako then finally kabisa jiandae ku..R..I..P..ovaerr...alikukataa mwanzon kisa mshamba kwani saiv ushamba ushakutoka?....
 
Kaamua kurudi kwa mshamba wake.....anajua kwa ushamba wa mshamba basi atapokelewa kwa mikono miwili...
Akipata atakacho anamuacha mshamba na shamba lake...
 
Machame? mh! Pia hujatuambia yaliyomkuta huko alipokuwa.Take time kwanza.
 
kaka huyo moja kwa moja hafai tena. halafu vp ushamba wako aliouona wakti ule umekwisha? inaonekana ameshafanya sana ngono na na sasa hafai tena na inaonekana amepigwa chini so anataka kumuumizia hayo aliyempiga chini. kama vp kula mzigo halaf mpotezee na mwambie kuwa hana nafasi kwako.
 
Kaamua kurudi kwa mshamba wake.....anajua kwa ushamba wa mshamba basi atapokelewa kwa mikono miwili...
Akipata atakacho anamuacha mshamba na shamba lake...

Fedha ipo ushamba wote utasafishwa. Na mama ndiyo atakuwa mstari wa mbele kusafisha huo ushamba.

Amka kijana .... huyo amepata mwenzake na kumueleza mafanikio yako basi roho ikamuuma akatafuta namba yako ya simu. Na wewe unaanza kujiumauma mbele yake.

Jipeleke mwenyewe mbele ya chatu ........
 
Sikiliza Chukua time by Suma Mnazaleth
 
Kwan xaxa hv ushamba umepungua?achna nae hyo hna mapnz ya kweli na ya dhat kwako kwan inavyoonyesha hyo manz kafuata doo 2 hyo!
 
piga mzigo alafu utatafuta sababu ya kumuacha kwa kashfa malipo ni hapa hapa Duniani malizana nae
kabla ya kumpa Mungu lawama
 
huu ni ushauri mbaya na mbovu kwa mwaka 2013
piga mzigo alafu utatafuta sababu ya kumuacha kwa kashfa malipo ni hapa hapa Duniani malizana nae
kabla ya kumpa Mungu lawama
 
kimbia kaka, anatafuta panadol ya kutuliza maumivu! baada ya hapo atampata anaemtaka akuache unalia!
 
kaka huyo kakosa pa kushika,ndo maana anakutafuta,keshajua mambo yako safi ndo maana kakutafuta,jihadhari naye utaishia kubaya,amepataje number yako?lazima kutakuwa na mtu kamueleza kuwa jamaa uliyempiga kibuti siku hizi mambo yake ni super,so that`s the reason she is looking for u.
 
Huyo karukaruka weeee sasa amezeeka amekosa wa kumuoa kaamua kuja kwako, jumba bovu hilo litakuangukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…