..nilimsahau but amejileta tena..

..nilimsahau but amejileta tena..

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
Watu walikua busy na registration nami nikiwa mmoja wa wanafunzi tuliokua tunaingia first year. Ndipo macho yangu yakamuona huyu mdada wa "kimachame" na kumzamisha kunako "moyo". Nikamsogelea kumsabahi na kumuomba "kampani". Akakubali & from there tukawa marafiki. Kwa kuwa nilishamtamani kimapenzi, haikuchukua muda nikarusha "ndoano" akaniambia nisubiri atanipa jibu. Sikuamini pale aliponiambia hawezi kua na mimi coz ni "mshamba" & naweza kumtia aibu kwa marafiki zake. ILINIUMA SANA. Hivyo ndivyo nilivyoambulia kibuti.. Nilijitahidi nikasahau yote, nikaja kuwa na GF mwngne hapo b'dae, japo hatukudumu kwa muda mrefu.. Nilimaliza chuo na nikaajiriwa at the same time nikawa na b'nes zangu. Siku moja usiku nikaona namba ngeni inaingia kwa simu yangu, nikajaribu kupokea but mpigaji akakata simu. Asubuh iliyofata nilipiga ile namba, sauti ya mdada ikaitika na kunitaja jina langu.. Akazunguka kunambia yeye ninan, nikamtukana then nikakata simu. Ndipo b'dae akaniandia ujumbe mfupi na kuniomba radhi kisha akajitambulisha.. Moyo ulinipasuka paaa..aa, kuona jina la mdada aliyeniumiza wakati nipo chuo!!
Tukapanga kuonana na ikawa hvo. Akanieleza yalomkuta nami nikaeleza yangu, akatoa machozi na kuniomba radhi kwa alonifanyia nikiwa chuo. Mdada anafanya kazi na amenambia she is ready for marriage. Kuna mzee mmoja wakati nipo mwaka wa 2 alishawah kunambia usithubutu kuoa mwanamke ambae alishawah kukukataa kwa kukukashifu. Nashindwa kuamua wadau, naomba busara zenu.
 
Daah!
Kwanza pole.
Pili , kama nimekusoma vema umedai currently una mwingine , ni bora ubaki na ulienae sasa.
Huyo alieibuka achana nae, si alishachezea nafasi na muda.
 
Kasema kweli huyo mzee ingekua muliwahi kuishi kimapenzi mukaduuu basi ingekua afadhali ila mulikaa frend huo ni mtihani achana nae au mega uanze hafai kuolewa sabubu ya kukutafuta anataka azibe pengo la upweke mji umemsomesha hafai huyo
 
Take sometime kaka umcheki nyendo zake kwani yaweza kuwa mkweli na kajidhatiti kuolewa nawe..

Blackberry 9700
 
Kasema kweli huyo mzee ingekua muliwahi kuishi kimapenzi mukaduuu basi ingekua afadhali ila mulikaa frend huo ni mtihani achana nae au mega uanze hafai kuolewa sabubu ya kukutafuta anataka azibe pengo la upweke mji umemsomesha hafai huyo
.
Thanks. Kumega naweza saa yoyote nikitaka but nachele coz kuna usemi wa watoto wa mjini unasema "GUSA UNATE".. lol
 
Unadhani anakupenda? From my experience huyo hakupendi, amekosa pa kushika sasa amekumbuka 'mbachao'. If u don bliv try it!
.
Nachelea kujaribu nisije nikajuta, binti mwenyewe ni wa zile pande wanaitwa "wapalestina"..
 
Watu walikua busy na registration nami nikiwa mmoja wa wanafunzi tuliokua tunaingia first year. Ndipo macho yangu yakamuona huyu mdada wa "kimachame" na kumzamisha kunako "moyo". Nikamsogelea kumsabahi na kumuomba "kampani". Akakubali & from there tukawa marafiki. Kwa kuwa nilishamtamani kimapenzi, haikuchukua muda nikarusha "ndoano" akaniambia nisubiri atanipa jibu. Sikuamini pale aliponiambia hawezi kua na mimi coz ni "mshamba" & naweza kumtia aibu kwa marafiki zake. ILINIUMA SANA. Hivyo ndivyo nilivyoambulia kibuti.. Nilijitahidi nikasahau yote, nikaja kuwa na GF mwngne hapo b'dae, japo hatukudumu kwa muda mrefu.. Nilimaliza chuo na nikaajiriwa at the same time nikawa na b'nes zangu. Siku moja usiku nikaona namba ngeni inaingia kwa simu yangu, nikajaribu kupokea but mpigaji akakata simu. Asubuh iliyofata nilipiga ile namba, sauti ya mdada ikaitika na kunitaja jina langu.. Akazunguka kunambia yeye ninan, nikamtukana then nikakata simu. Ndipo b'dae akaniandia ujumbe mfupi na kuniomba radhi kisha akajitambulisha.. Moyo ulinipasuka paaa..aa, kuona jina la mdada aliyeniumiza wakati nipo chuo!!
Tukapanga kuonana na ikawa hvo. Akanieleza yalomkuta nami nikaeleza yangu, akatoa machozi na kuniomba radhi kwa alonifanyia nikiwa chuo. Mdada anafanya kazi na amenambia she is ready for marriage. Kuna mzee mmoja wakati nipo mwaka wa 2 alishawah kunambia usithubutu kuoa mwanamke ambae alishawah kukukataa kwa kukukashifu. Nashindwa kuamua wadau, naomba busara zenu.
ukimukubalia usishangae akaja kukuumiza zaidi ya hapo hawa viumbe wadhaifu sana wanatia kinyaa sana kwa mambo yao
 
hahha wewe fuata ushari wa huyo mzee kaka. na la msingi mgegede na kumpiga kibuti....revenge tym kaka
 
Huyo hafai kwa kumuoa. Anataka kukuharibia kwani kwa jinsi alivyokutendea haamini kama ungeweza kufanikiwa maishani na kuwa mtu wa viwango.
 
anatafuta pakupumzikia....... stuka ,kimbia ni hatari kwa matumizi yako!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom