Hahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
Ni ya leo hiyo nasikilizia bado hapa.Mzee baba unaonekana ulikuwa na uchupa, hakuna kitu kingine unataka kusikia zaidi ya muda wa kubinjuana
AnazinguaMutoto mwenyewe..🤣🤣🤣
Tatizo anakuwa mkali sanaNitatizo sana jamani..!!Nenda nae taratibu akikua ataachaa yani mesej inafupishwa hadi kero loh[emoji1787]
Umekuja kutoa siri zetu sijapenda
Mueleweshe taratibu, nilishakua na pisi ya hivyo nikamuelekeza na akabadilika. Tafuta muda umwambie face to face kwenye sms hawezi kukuelewa kirahisi
Vizazi vya dotcom wanaona taabu kuandika s wanatumia X.
Sio tu kufupisha soma tu ujumbe wake wa mwanzo utagundua hamna kitu apo .
Tatizo nikimuelekeza anakuwa mkali. Dawa Ni kuachana naye tu
Sio tu kufupisha soma tu ujumbe wake wa mwanzo utagundua hamna kitu apo .
Alikomea la ngapi anashindwa kuandika na mama yangu mzee anaandika vizuri
Ni ya leo hiyo nasikilizia bado hapa.
Fom fooAlikomea la ngapi anashindwa kuandika na mama yangu mzee anaandika vizuri
Ana miaka 23Nilichogundua hapo bado mtoto
Point of correction.Wanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika 😂😂😂
Wanaongea vizuri tu ila kwenye kuandika sms ndio hayo mapepo ya kutotumia herufi husika huwaingiliaHivi mtu anavyoongea ndivyo anaandika nadhan sijui wakipewa kalamu na karatasi waandike sijui itakuwaje
Sina haraka sema msabato huyu mambo yake magumu kweli yani ila atalika tu maana sina pupa nae.Hahaha...komaa naye upewe muda
Hata huyu wangu. Anachonikera zaidi Ni kuwa mkali nikimuelekeza. Ila mwiso wake umefika.kuna wale wa sw pw(anamaanisha sawa poa)daah