National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Usiogope mpenzii, unajua kabisa bila wewe maisha yangu hayana maana, wewe ndio unaefanya dunia na uhai wangu viwe na maana ππHaya mahaba mbona mengi hivo mpaka naogopaππ
Tutakuwa tumekujua tunakaa mbali na wewe![emoji14]Afu akishanitaja wewe utafaidika na nini?
Mpaka hapa alishashindwa usikiri uoga na hofuAtanimalizia kabisaa namuhofia
Darlin , story yangu na Unique Flower nitakupea siku tukiwa wawiliπ€£Babuuuu jf nzima si utaimaliza hiiππ
Kumbe hadi mna storyyyDarlin , story yangu na Unique Flower nitakupea siku tukiwa wawiliπ€£
Bibi amekaa kwa utulivu huko analea wajukuu[emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe hadi mna storyyy
Babuuu babuuuuu khaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]bibi anajua haya
π€π€ Furaha yangu na roho yangu, tumaini la maisha yangu ndio wewe mama unae tunza uhai na maisha yangu, nijidai mie kuwa na weweAww π₯°
Carleen dada yangu njoo uone mahaba ya shemeji yako
Halafu babu uko jf unahangaika na wajukuu wakuite daddyπππBibi amekaa kwa utulivu huko analea wajukuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Aaiiiiiiiiii wambiee mpenzi wangu wajue jamanπ₯°π₯°π₯°ukizidisha mahaba hivi nakuekea bango lako pale postaπ€π€ Furaha yangu na roho yangu, tumaini la maisha yangu ndio wewe mama unae tunza uhai na maisha yangu, nijidai mie kuwa na wewe
π€π€ nitakupenda mpaka pumzi yangu ya mwisho. Maana ni wewe pekee ulie fanya dunia iwe na maana kwangu, bila wewe hakuna maana yoyoteAaiiiiiiiiii wambiee mpenzi wangu wajue jamanπ₯°π₯°π₯°ukizidisha mahaba hivi nakuekea bango lako pale posta
[emoji3][emoji3]eeeh kina Darlin, huenda nikajihisi bado damu ya moto!Halafu babu uko jf unahangaika na wajukuu wakuite daddy[emoji38][emoji38][emoji38]
Kweli mtaje!π€£π€£π€£ mtaje tu hamna namna
πππAkhuuuu mie sihusiki[emoji3][emoji3]eeeh kina Darlin, huenda nikajihisi bado damu ya moto!
Eeeh, naendelea kumuweka Unique Flower vizuri hapa, naamini mda sio mrefu ataanza kuniita daddy[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Akhuuuu mie sihusiki
Labla wew na mtoa mada
Kaza hivo hivo mzee wanguEeeh, naendelea kumuweka Unique Flower vizuri hapa, naamini mda sio mrefu ataanza kuniita daddy[emoji28][emoji1787][emoji1787]