Nilimpa mimba binti mdogo kumkomoa mke wangu

Nilimpa mimba binti mdogo kumkomoa mke wangu

Inavyoonekana kama si Mangi atakaribia mezani kwa Bwana ni ex atarudi maana naona anaanza kuwa wa wivu. Chungu ulichokula huwezi....

hapana Aiseee mangi is my friend tu ila he is good na pia siwez kumpenda yaani ukimuoana ki ukweli daah hapana kabisa
 
masai dada mthibitishie mangi kua mapenzi ya dhati YAPO, anza hiyo kazi mpaka akuelewe, fanya kwa vitendo

mmmh nianzeje utafiti

ila mimi simpendi bwana ni mtani wangu tu bwana utafit
 
Last edited by a moderator:
Himidini wenye hela wanatumia mapenzi vibaya,wataumia sana mpaka kujiua ila sisi wa kawaida tunamiliki

Ha ha ha! Haya Mkuu.
Ngoja nisome komenti za wengine, japo mada hii imemgeukia masai dada badala ya lengo lake
^^
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Haya Mkuu.
Ngoja nisome komenti za wengine, japo mada hii imemgeukia masai dada badala ya lengo lake
^^

hahahahhaha hora umeliona hilo mkuu

naona mada yote imekuwa mwiba kwangu natamani mangi angekua na jf account aiseee asingeamini mawazo niliyotoka nayo pale leo
 
Last edited by a moderator:
Sijui tu wanawake sie sometimes tunapatwa na nini?Nakumbuka kuna jirani yetu alikuwa kwenye ndoa akapata mchepuko pembeni basi full kujionyesha mume akamdaka mdada akachezea kichapo cha mbwa mwizi ila akasema simuachi mke wangu nampenda.Yule bidada akajishaua kuondoka kumfata jamaa nae kampiga chini huku nako mume kavuta chombo kipya.Yani bidada si zaidi ya kukonda nikwamba kasinyaa kwa mawazo.
 
ila yaani sisi wanawake its hard to explain the real defintion of SOME of us
hiyo imesababisha wanaume kutokutuamini kabisa
 
pesa ni adui wa mapenzi usijaribu utampoteza umpendae alafu ukaja ukajutia baadae ukiwa ushazipata nyingi na usione kazi yake

Ha ha ha! Ni mwanamke gani wa kisasa anakupenda mwanaume pasipo pesa? Haaa! Tuumizeni tu, malipo duniani.
^^
 
Ha ha ha! Ni mwanamke gani wa kisasa anakupenda mwanaume pasipo pesa? Haaa! Tuumizeni tu, malipo duniani.
^^

mimi hapa Mnagii hana hela mbona

ila anauza hadi soda

hahahhajahh #kiding
when rich nigga wants ypu and ur nigga can do nathin for yaaah
this hoes ant loyal............

montanaaaaaaaaa
 
but i dont fu...broke bit.....

hata nyie hamuwezi tukiwa broke though you can make us rich but u cant fu...us tukiwa broke

just get rich....
 
hapana mangi hana mapenzi ya kweli maana alisema
siwezi kupenda tena

Kumbe uko single..... Subiri PM yangu, na ukinikataaa najiua. Huwezi kwenda kumtongoza Mangi wakati kila siku nakulia timing. Sina hatia kwa kusema hivyo h
 
Kumbe uko single..... Subiri PM yangu, na ukinikataaa najiua. Huwezi kwenda kumtongoza Mangi wakati kila siku nakulia timing. Sina hatia kwa kusema hivyo h

hahahhaah Mangi ni friend tu maana ni muongeaji sana aiseee
alafu i cant bwana ni mtu mzima sana

mmmmh si ulisema umeoa jamani elli au nakufananisha teh teh
 
hahahhaah Mangi ni friend tu maana ni muongeaji sana aiseee
alafu i cant bwana ni mtu mzima sana

mmmmh si ulisema umeoa jamani elli au nakufananisha teh teh

Nimeoa ni kweli lakini haimaanishi kifanyio kiko nyumbani, hapana, natembea nacho maana sio kama chaki kwamba kitaisha.....
 
Nimeoa ni kweli lakini haimaanishi kifanyio kiko nyumbani, hapana, natembea nacho maana sio kama chaki kwamba kitaisha.....

hahahhah makubwa
wapi babu a.k.a ODM king mswati

Asprin

kweli Elli ubazazi upo kwenye damu wewe
 
Last edited by a moderator:
ila yaani sisi wanawake its hard to explain the real defintion of SOME of us
hiyo imesababisha wanaume kutokutuamini kabisa

Hapo umenena vema masai dada, naweza kukupenda hadi niwe nakubeba mgongoni lakini kigezo cha kutokuwa na prado ukanikimbia
 
Hapo umenena vema masai dada, naweza kukupenda hadi niwe nakubeba mgongoni lakini kigezo cha kutokuwa na prado ukanikimbia

kwani wewe una gari la aina gani

hahahahaahanjahahahahaha sio lazima prado tej
 
Back
Top Bottom