Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,301
- 1,877
Tumpe nafasi ya kuhariri andiko lakeHeading inasema ulimpa, content inasema ulimutegeshea tuelewe kipi?
Kumtegeshea kuna lengo la kumpa hivyo Hakuna tofauti sana ktk haya manenoHeading inasema ulimpa, content inasema ulimutegeshea tuelewe kipi?
Nimejitahisi kumvuta tukutane amekuwa akinikwepa hataki kuwa karibu halafu anafanana sana na baba kuliko hata sisiUlikosea kumtegeshea, ungempa ajue ili akuheshimu pengine angekuwa anakuthamini, maake maisha ya Sasa bila pesa huthaminiwi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nitegeshee na mimi hata pm nitakua na shukrani
Jioni tunakunywa Ghahawa..Chai kama chai mara nyingi inanyweka asubuhi
Achananae, huyo atakuwa na chuki zisizo na maana.Nimejitahisi kumvuta tukutane amekuwa akinikwepa hataki kuwa karibu halafu anafanana sana na baba kuliko hata sisi
Huu ni mtindo Wangu huwa nacheka kimoyomoyo na kufurahi Sana PESA au kitu MTU ninae mlenga.[emoji1]Hii sasa ndio mitego ya kutegesheana, Mkuu nikupe namba unitege.