Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

Shida ya vijana wa siku hizi mnafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ndio maana unaumia sana kwa kuachwa; jiheshimuni na kujitunza hadi siku ya ndoa.

Ungekuwa ni msichana unayejiheshimu hakika usingejua mlango wa chumba cha kulala cha mchumba wako; ungekuwa unaishia tuu sebuleni kama siyo barazani
 
Nosense
 
So young.
You have a bright future ahead.
Fanya kilicho muhimu kwa sasa.
Stay blessed.
 
Ulitaka akae miaka mingapi ndio awe mchumba?Nyie ndio mnawakalishaga wadada miaka na miaka wakitokea wenye nia wanawaolewa wachumba zenu.
Mnaweza kutana hata ndani ya mwezi na mkaoana

Ndoa baada ya mwezi! kweli hiyo itakuwa mmekumbwa na dhoruba kali ya mahaba.
Binafsi naamini miaka miwili inafaa na katika kipindi hicho uwe umemuona mpenzi
wako angalau amekasirika sana ili ujue kama akiwa katika hali hiyo penzi lenu linaweza
shinda hiyo hasira.

Hiyo ndoa ya ndani ya mwezi moja acha tu inipite nitaamini haikuwa iwe.
 
Hili ni tatizo la mfumo dume la kujiaminisha kuwa mwanaume akifumaniwa haioneshi kama ni issue kubwa ila angefumaniwa mwanamke hapo yaani ingekuwa bonge la issue.
 
kwanza unavurugwaje na jinga kama hili halijitambui..hata kama limecheat ila hii ya kuja eti anakupa taarifa ni uboya......af huyu atakuwa mmoja kati ya wanne.....usibabaishwe na ujinga hasa kama huu wa kutishiwa hapo ndio umeona akili za huyu jamaa ni zero brain
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…