Nilileta uzi humu kuhusu mchezo wa kujihami, karate

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,337
Huu mchezo nilifundishwa na mjomba wangu ambaye maisha yake kwa kiasi kikubwa alikulia China,na alijulikana Kama master G.

Mpaka hapa nilipo nina rank ya mkanda mweusi,huu mchezo siyo tu kuwa na mkanda tu maana usipokuwa makini na unaweza kupigwa na hata mwenye belt ndogo sana.

Kiukweli huu mchezo naujua vzr na hakuna kitu ambacho mjomba alinificha kwenye huu mchezo

Mimi ni mpole sana na naogopa sana ugomvi maana najua kucheza na sehemu dhaifu kwenye mwili wa binadamu

Nina miaka 30 ila mkanda mweusi nilipata nikiwa na miaka 27 toka nimeanza kucheza huu mchezo nikiwa na miaka 4 na 5 tano kama sikosei

Ila huu mkanda niliipata china baada ya kwenda mjomba kwenye pambano na kwenda kujifunza zaidi ,niliwahi kupigwa kwenye mji wa Hong Kong na master moja anaitwa master wong.na yeye ndo alinifundisha baada ya kunipiga alipenda mchezo na kuniambia ww Ni mwaafrika wa kwanza kuonyesha mchezo mzuri.

Nilirudi nchini kuendelea na masoma yangu ya uuguzi na mpaka leo.

Nimewahi kuwachallenge wengi wanaojihita master lakini hawakufua dafu, kuna master moja mchawi Sana bukoba baada ya kuona hali mbaya alipotea kimazingaombwe Ila sikumshangaa maana huo uwezo hata mimi pia nimepitia,ila kwa ambao nimewahi kuwajaribu yeye alikuwa ni mzuri ana asili ya congo ila mpaka leo ni rafiki yangu sana,ni master mzuri E.A

Nina uwezo mkubwa sana kwenye huu mchezo,ila kunijua unatakiwa uchunguzi wa kina ,sipigani kutafuta sifa,mi ni mpole zaidi ya wapole ambao nimewahi kuwaona,

Napenda kazi yangu sana usipigane kutaka kujiona unajua zaidi.

Huu mchezo nahufurahia zaidi ninapopigana na Kijiji cha watu zaidi ya 40.

Niwatakie kazi njema,hata ukija sitakufundisha huu mchezo nafundisha wale ninaowahitaji tu kuwafundisha.
 
Mwanzo sikutaka kucheza huu mchezo na mpaka leo sijawahi kushtakiwa na mtu yoyote kuwa nimempiga,naishi na watu vzr sana na wengi hawajui kama naweza ili wajanja na wenye macho makini wananitia sana mashaka kimuonekano wangu na life style yangu.ila nipo kwenye mchakato wa kufungua shule ya kong fu.mchakato utapoanza nitaweka matangazo baada ya kufuata taratibu zote.
 
Nitaanza na watoto wadogo kuanzia miaka mitano Kama nitapata ridhaa kwa wazazi wao au hata kutafuta watoto wa mtaani nikijua mbeleni wanaweza wakawa Askari watiifu kwa nchi yetu
 
Sharti ya kwanza kula chumvi hapana maana hata mimi chumvi niliacha kula nikiwa na miaka 6
 
Point yako hasa ni nini?
Unatudolishia au?
Nilisoma ujumbe wa watu wengi humu wengine wakisema ni uongo nikasema sawa lengo langu ni kufungua chuo cha Kung fu.eneo tayari nilishanunua ujenzi hautakuwa wa gharama sana nitajenga nyumba za nyasi
 
Huu mchezo nilifundishwa na mjomba wangu ambaye maisha yake kwa kiasi kikubwa alikulia China,na alijulikana Kama master G.

Mpaka hapa nilipo nina rank ya mkanda mweusi,huu mchezo siyo tu kuwa na mkanda tu maana usipokuwa makini na unaweza kupigwa na hata mwenye belt ndogo sana.

Kiukweli huu mchezo naujua vzr na hakuna kitu ambacho mjomba alinificha kwenye huu mchezo

Mimi ni mpole sana na naogopa sana ugomvi maana najua kucheza na sehemu dhaifu kwenye mwili wa binadamu

Nina miaka 30 ila mkanda mweusi nilipata nikiwa na miaka 27 toka nimeanza kucheza huu mchezo nikiwa na miaka 4 na 5 tano kama sikosei

Ila huu mkanda niliipata china baada ya kwenda mjomba kwenye pambano na kwenda kujifunza zaidi ,niliwahi kupigwa kwenye mji wa Hong Kong na master moja anaitwa master wong.na yeye ndo alinifundisha baada ya kunipiga alipenda mchezo na kuniambia ww Ni mwaafrika wa kwanza kuonyesha mchezo mzuri.

Nilirudi nchini kuendelea na masoma yangu ya uuguzi na mpaka leo.

Nimewahi kuwachallenge wengi wanaojihita master lakini hawakufua dafu, kuna master moja mchawi Sana bukoba baada ya kuona hali mbaya alipotea kimazingaombwe Ila sikumshangaa maana huo uwezo hata mimi pia nimepitia,ila kwa ambao nimewahi kuwajaribu yeye alikuwa ni mzuri ana asili ya congo ila mpaka leo ni rafiki yangu sana,ni master mzuri E.A

Nina uwezo mkubwa sana kwenye huu mchezo,ila kunijua unatakiwa uchunguzi wa kina ,sipigani kutafuta sifa,mi ni mpole zaidi ya wapole ambao nimewahi kuwaona,

Napenda kazi yangu sana usipigane kutaka kujiona unajua zaidi.

Huu mchezo nahufurahia zaidi ninapopigana na Kijiji cha watu zaidi ya 40.

Niwatakie kazi njema,hata ukija sitakufundisha huu mchezo nafundisha wale ninaowahitaji tu kuwafundisha.
Hamna kitu hapa
 
Kila la kheir Master, usitishwe na kelele za mitandaoni, timiza ndoto yako,
Je mimi nikihitaji kufundishwa walau kidogo tu kwa kujihami, hautanifundisha?
 
Wewe ni mtaalamu wa karate au kung fu? Maana hiyo ni michezo miwili tofauti.
Napata mashaka kwenye maelezo yako unapomix hiyo michezo miwili
Nilisoma ujumbe wa watu wengi humu wengine wakisema ni uongo nikasema sawa lengo langu ni kufungua chuo cha Kung fu.eneo tayari nilishanunua ujenzi hautakuwa wa gharama sana nitajenga nyumba za nyasi
 
Wala hakuna mchanganyo,karate imetoka ndani ya Kung fu, shule itakuwa ya karate Ila kuna uwezekano mkubwa tukapata walimu wa Kung fu .tunataka kuja na kitu tofauti kabisa na huu mchezo tutaipa jina ya kipekee sana na ndo maana nitaanza na watoto wadogo,sitaki waliokomaa mwili
 
Huu mchezo nilifundishwa na mjomba wangu ambaye maisha yake kwa kiasi kikubwa alikulia China,na alijulikana Kama master G.

Mpaka hapa nilipo nina rank ya mkanda mweusi,huu mchezo siyo tu kuwa na mkanda tu maana usipokuwa makini na unaweza kupigwa na hata mwenye belt ndogo sana.

Kiukweli huu mchezo naujua vzr na hakuna kitu ambacho mjomba alinificha kwenye huu mchezo

Mimi ni mpole sana na naogopa sana ugomvi maana najua kucheza na sehemu dhaifu kwenye mwili wa binadamu

Nina miaka 30 ila mkanda mweusi nilipata nikiwa na miaka 27 toka nimeanza kucheza huu mchezo nikiwa na miaka 4 na 5 tano kama sikosei

Ila huu mkanda niliipata china baada ya kwenda mjomba kwenye pambano na kwenda kujifunza zaidi ,niliwahi kupigwa kwenye mji wa Hong Kong na master moja anaitwa master wong.na yeye ndo alinifundisha baada ya kunipiga alipenda mchezo na kuniambia ww Ni mwaafrika wa kwanza kuonyesha mchezo mzuri.

Nilirudi nchini kuendelea na masoma yangu ya uuguzi na mpaka leo.

Nimewahi kuwachallenge wengi wanaojihita master lakini hawakufua dafu, kuna master moja mchawi Sana bukoba baada ya kuona hali mbaya alipotea kimazingaombwe Ila sikumshangaa maana huo uwezo hata mimi pia nimepitia,ila kwa ambao nimewahi kuwajaribu yeye alikuwa ni mzuri ana asili ya congo ila mpaka leo ni rafiki yangu sana,ni master mzuri E.A

Nina uwezo mkubwa sana kwenye huu mchezo,ila kunijua unatakiwa uchunguzi wa kina ,sipigani kutafuta sifa,mi ni mpole zaidi ya wapole ambao nimewahi kuwaona,

Napenda kazi yangu sana usipigane kutaka kujiona unajua zaidi.

Huu mchezo nahufurahia zaidi ninapopigana na Kijiji cha watu zaidi ya 40.

Niwatakie kazi njema,hata ukija sitakufundisha huu mchezo nafundisha wale ninaowahitaji tu kuwafundisha.
. Mshana Jr. Kuna mwenzio huku ,

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
 
Nitakushauri mchezo unaoendana na umri wako,Kama boxing.nahitaji kuanza na watoto wadogo
 
Kila la kheir Master, usitishwe na kelele za mitandaoni, timiza ndoto yako,
Je mimi nikihitaji kufundishwa walau kidogo tu kwa kujihami, hautanifundisha?
Tutakupima akili kwanza hatutaki kuwa tunakufundisha alafu unaenda kuleta ukorofi mtaani hapo hapana kabisa
 
Kwanini? Watoto na si watu wazima na mimi nina ndoto ya kujifunza nifikapo 30 hivi unanishaurije hapo?
 
Back
Top Bottom