Nililelewa na baba wawili

Braza Mentor katika ubora wake hahaha kisa hiki kimenipa funzo fulani
 
Last edited by a moderator:
mh! naendelea kufatakari. Kama umenigusa mahali vile.
 

True, its not an easy, lakini unavyomwachia mwenzako jukumu lote si mzigo mara mbili? ilihali makosa mmefanya nyote wawili?
 
True, it's not easy, lakini unavyomwachia mwenzako jukumu lote si mzigo mara mbili? ilihali makosa mmefanya nyote wawili?

Nakubaliana na wewe 100%. Alichokifanya baba hakikuwa kizuri. Cha kusikitisha hivyo ndivyo vijana wengi hufanya siku hizi. Sijui ni ugumu wa maisha au uoga tu wa kuwa mwanaume...it's disappointing kwa kweli!


Hadithi nzuri

ina mafunzo

asomae na afahamu

NA wote waseme AMEN!
 
 
Hahahah! Eti baba Mentor mtoto wako na mtoto wangu wamempiga mtoto wetu safii ujumbe mzuri kaka!
 
Last edited by a moderator:
Huo ni uoga wa kuwa mwanaume rafiki, ugumu wa maisha ni wa pande zote mbili tena mara nyingi huwa kwa mwanamke zaidi still mtu anamkimbia. Ukiona mwanaume anakimbia majukumu ujue he is not man enough..
annabrenda, tuombe dua watakaosoma niliyoyapitia wataguswa kujiepusha na mimba wasizozipanga! Ila hata nyie kina dada kwa asilimia kubwa mnachangia kupewa mimba msiyoitaka/isiyotarajiwa. I tend to believe jukumu la kwanza la kujikinga na mimba zisizotarajiwa ni la kwenu!

Usione soo...sema naye!

Na mimi nimeipenda hiyo

Hahahah! Eti baba Mentor mtoto wako na mtoto wangu wamempiga mtoto wetu safii ujumbe mzuri kaka!
namanyele & Gemmy it's no laughing matter. Hayo yanatokea. Nashukuru mimi na ndugu zangu tuliheshimiana sana. 'Baba wa nyumbani' alitulea vyema sana. Ila msipolelewa vyema mtajikuta mnadundana kila siku na mara nyingi victim atakuwa yule wa wote!!!

#say-no-to-unplanned-pregnancies
 
Last edited by a moderator:
 
Ni kweli ila vizuri mwanaume akiwa anamkumbusha mwenzie ili achukue tahadhari manake kuna kujisahau hasa penzi likikolea.

Hata iweje, MWANAMKE atabaki na jukumu la kwanza. Mwanaume mara nyingi hatakuuliza kama wewe utalala unapanua miguu unamuona akiingiza usimueleze kuwa upo siku za hatari yeye ata-assume upo safe days na ataendelea.

Well, ni jukumu letu sote ila kwenu ndo la kwanza!!!
 

Mie sikucheki ila hii story yako imenigusa sana kuna mambo yananihusu japo nina uhakika yatakuja kutokea baadae, ndiyo maana nimecheka huo usemi " Mtoto wangu na mtoto wako wamempiga mtoto wetu" yaani huu usemi binafsi ndiyo umenifanya nielewe kiundani hii story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…