Nilikuwa nataka kumtambulisha nimegundua ana mahusiano ya siri

nyachia

Member
Mar 17, 2015
43
3
Wadau naombeni ushauri,

Eti una mpenzi ambaye mnatarajia kutambulishana kama mwezi mmoja ujao then unagundua ana secret mahusiano na mtu mwingine eti anadai kutambulishwa.

Please help
 
Mbona hamna haja ya kuomba ushauri hapo..... Sepa tafuta mwingine mwachie nafasi. Kama una mapenzi ya Tamthilia za Kiphilipino then komaa hadi upate Ngoma.
 
Wadau naombeni ushaur et una mpenZi ambaye mnatarajia kutambulishana kama mwezi mmoja ujao then unagundua ana secret mahusiano na mtu mwingine et anadai kutambuliahwa...plz help[/QUOTE

Tukushauri Nini Sasa Hapa? Anyway Mimi NAKUSHAURI ILI KUEPUKANA NA HAYO MATATIZO YOTE IGA TU TABIA ZA KISHUJAA ZA WAHEHE.
 
kama moyo wako umeridhika hata umuone live utatafuta njia moja au nyengine umsamehe,kama umesema sitaki basi hata alokufa afufuke hukubali,uwamuzi unao na unajua nini unataka ......
 
Ndio maana kachange nw days nilitaka game anasema mpaka anipeleke kwao...even French kiss kwa sasa kwangu ni ndoto my be atakupa lips kiss
 
Wadau naombeni ushaur et una mpenZi ambaye mnatarajia kutambulishana kama mwezi mmoja ujao then unagundua ana secret mahusiano na mtu mwingine et anadai kutambuliahwa...plz help[/QUOTE

Tukushauri Nini Sasa Hapa? Anyway Mimi NAKUSHAURI ILI KUEPUKANA NA HAYO MATATIZO YOTE IGA TU TABIA ZA KISHUJAA ZA WAHEHE.
Genta nakukubali mkuu, what a wonderful advice ambao utakata mzizi wote wa fitina!!!!!!!!
 
Wadau naombeni ushauri,

Eti una mpenzi ambaye mnatarajia kutambulishana kama mwezi mmoja ujao then unagundua ana secret mahusiano na mtu mwingine eti anadai kutambulishwa.

Please help
Kwani wewe ni bikra kwa sasa? Kama sivyo, huna sababu ya kumzira mwenzako
 
ye anataka kutambulishwa tu??..kamtambulishe kama ex boyfriend wako
 
na wewe pia kaolewe ili uwe nae pamoja. acha utoto wa kupoteza mda wako
 
Wadau naombeni ushauri,

Eti una mpenzi ambaye mnatarajia kutambulishana kama mwezi mmoja ujao then unagundua ana secret mahusiano na mtu mwingine eti anadai kutambulishwa.

Please help

Siku zote mshikwa na ngozi ndio mla nyama, dada unaithibitishia Jf kuwa wewe ulikuwa mwaminifu 100% kwa huyo mchumba wako? hapo ulipo huna mahusiano ya siri? kama NDIO, muache huyo sio wako piga goti Mungu akuonyeshe wako. Kama HAPANA - Tafakari chukua hatua.
 
wewe unasema hiyo ya kutambulishwa....kuna binti tunamjua alimfumania mchumba wake aliyemvalisha pete tena ni baada tu ya mwezi kuvishwa pete.....na harusi ipo pale pale......binti kakomaa .....haachwi mtu...

sasa pima lako na la mwenzako afu chukua hatua.....
 
Thanx kwa ushauri wakuu...huyu muiraq nampenda but ndo hivo same time ananiambia moyo wake upo nusu nusu hana uhakika na mm..nifanyaje wadau ili awe full committed na nm
 
Back
Top Bottom