God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
WW BOGAZI CCM NDOO WAFUNilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza kwa wazungu na wamarekani kabisa.
Na wale wabunge waliokuwa wanamtukana lowassa nikawaona ni wanafiki tuu na hawana lolote.
Rasmi nikaondoka chadema nikamfata katibu mkuu slaa kwa msimamo wake nikasema hakika huyu ni mwanaume, jeshi la mtu mmoja linapingana na chama! kweli hatari mtu huyu.
Wazee na wasomi kibao walioelimika wakaona hapa chadema hamna lolote wakakiacha chama cha chadema na kufanya mambo mengine na kuwaacha wale vijana ving'ang'anizi kuendelea kudanganya kwa akili zao finyu.
R.I.P Chadema na mbowe mmelikoroga wenyewe. Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini.
Pia huyu mroho wa madaraka yani Lipumba aache ujinga wake siku hizi watanzania wameelimika.
Naombeni chadema mmfikishie salamu huyu lipumba mwenzenu asiejitambua.
Jibu sahihi kabisaaaaWW BOGAZI CCM NDOO WAFU
Toa unafiki CHADEMA ni chama imara huwezi fananisha na ccmNilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza kwa wazungu na wamarekani kabisa.
Na wale wabunge waliokuwa wanamtukana lowassa nikawaona ni wanafiki tuu na hawana lolote.
Rasmi nikaondoka chadema nikamfata katibu mkuu slaa kwa msimamo wake nikasema hakika huyu ni mwanaume, jeshi la mtu mmoja linapingana na chama! kweli hatari mtu huyu.
Wazee na wasomi kibao walioelimika wakaona hapa chadema hamna lolote wakakiacha chama cha chadema na kufanya mambo mengine na kuwaacha wale vijana ving'ang'anizi kuendelea kudanganya kwa akili zao finyu.
R.I.P Chadema na mbowe mmelikoroga wenyewe. Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini.
Pia huyu mroho wa madaraka yani Lipumba aache ujinga wake siku hizi watanzania wameelimika.
Naombeni chadema mmfikishie salamu huyu lipumba mwenzenu asiejitambua.
....Jibu sahihi kabisaaaa
Kibwengo kama wewe toka lini ukaikubali we saizi yako wabinuka pushapu kalio juu mbuzi kagomaChadema ina bei ukifika tu unamiliki
Nilikikubali sana cdm lakini kwa sasa ukakasi
Mnasemaga hivi hivi halafu ukija uchaguzi mkuu mnabwagwa. Tena safari hii sahauni ukawa. Lipumba hayuko tayari kurubuniwa kwa mara ya pili.Tanzania kuna mambo ya ajabu sana. Yaani hata kupangilia aya za kile kinachoandikwa inakuwa shida. Mawazo hayana mlingano wala muunganiko katika kile kilichoandikwa halafu hawa ndiyo wanaambiwa wajenge viwanda!!
Kwahiyo mmefanya collabo ya CCMLIPUMBUMnasemaga hivi hivi halafu ukija uchaguzi mkuu mnabwagwa. Tena safari hii sahauni ukawa. Lipumba hayuko tayari kurubuniwa kwa mara ya pili.
Kibwengo kama wewe toka lini ukaikubali we saizi yako wabinuka pushapu kalio juu mbuzi kagoma
Angalia sasa ulivyo punguani. Hivi huwa unahakiki ulichoandika?Kwahiyo mmefanya collabo ya CCMLIPUMBU
Uandishi na Uchaguzi vinahusiana vipi? Kwa taarifa yako huko tuendako itakuwa ama mkubali au tuwalazimishe kukubali kushindwa, tunza maneno haya!!Mnasemaga hivi hivi halafu ukija uchaguzi mkuu mnabwagwa. Tena safari hii sahauni ukawa. Lipumba hayuko tayari kurubuniwa kwa mara ya pili.