Edon 666
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 417
- 1,064
Tutawasaidia ili mradi wana u disabilityIli msiwasaidie? Toeni huko, uchoyo tu.
Na nyie acheni kuombaomba tamuOmba omba waende center za kuwasaidia
Wachoyo utawajua tu.Tutawasaidia ili mradi wana u disability
Umuulize teacher Konde..Elfu 10,000 tu unamwita dada jambazi 🤣🤣 wale walioibiwa mamillioni itakuwaje🤣
Tafuta pesa[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wanawake sijui ilitakiwa wamrubuni adamu mwanzoni sio sisi tupo hapa tunakula kwa jasho tulilopewa na mungu.
Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi.
mwanamke mwanzo mwisho ni matumizi utazani anajua kutafuta.
Mwisho wa siku msingi ulikuwa unakata nika piga chini basi utasikia kauli zao "tafute pesa"
Leo naona ananipigia kuniomba elfu kumi.
wewe dada jambazi ubora umekwisha maana kipindi cha awamu ya jakaya ulikuwa unasema ujazoea ugali wakati unatoka TMK mwembe kahawa sio chai tena.
Kila siku kinashinda kino kikijifanya fighter girl.
Aisee Maisha yana kwenda kasi
2023 wanawake kazi mnayo...
Mkiomba 10k mnaitwa majambazi
100k mtaitwa majangiri
1M wauaji
😅😅Tuishi nao kwa akiliMwamba yuko sahihi kabisa hawa viumbe ni hatari sana
[emoji28][emoji28]Tuishi nao kwa akili
Kaka ake na mshkaj wang ni dereva malori aliondoka dar na ugomvi tu wakawaida na mchumba wake mambo ya wivu haya.. sasa alivokua safarin mwanamke akazima simu ghafla jamaa kachukulia poa.. ebo kurudi safari mwanamke kakomba kila kituu fridge, t.v, kitanda, vyombo, kila kituu hadi bulb na vitasa kang'oa (na walikutana barabarani humo alikua mama ntilie nzega)Elfu 10,000 tu unamwita dada jambazi 🤣🤣 wale walioibiwa mamillioni itakuwaje🤣
Sio uchoyoWachoyo utawajua tu.
Hamtoi hataNa nyie acheni kuombaomba tamu
Kwani hiyo pesa unayo hauna.Kuna wanawake sijui ilitakiwa wamrubuni adamu mwanzoni sio sisi tupo hapa tunakula kwa jasho tulilopewa na mungu.
Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi.
mwanamke mwanzo mwisho ni matumizi utazani anajua kutafuta.
Mwisho wa siku msingi ulikuwa unakata nika piga chini basi utasikia kauli zao "tafute pesa"
Leo naona ananipigia kuniomba elfu kumi.
wewe dada jambazi ubora umekwisha maana kipindi cha awamu ya jakaya ulikuwa unasema ujazoea ugali wakati unatoka TMK mwembe kahawa sio chai tena.
Kila siku kinashinda kino kikijifanya fighter girl.
Aisee Maisha yana kwenda kasi
Mpaka muache wiziKwa leo inatosha.
Mnatushambulia kila kona kule nazjaz huku wewe.
Mtuonee huruma jamani[emoji2296][emoji2296]