Nilikutema kumridhisha mama

Hapo hakuna cha umshauri kitu, huyo dada aendelee na maisha yake, mimama mingine sijui inakuwa kama imepagawa vile, unamvulia nguo mwanao kisa? sasa ndio wajifunze wazazi wengine,..mwmbie huyo dada kama anaweza msaidia huyo kaka apate kazi amsaidie, ila asijihusishe nae na chochote, hata kama alimpenda vipi

haah haah haaah BB ujue akikubali kumsaidia lazima watakumbushia tu mana mpenz yao yalikua deep kwa miaka mitatu then viumbe wa kike ni wepesi kusamehe na usikute huyo mdada anaweza kumtosa mumewe na kurudi kwa jamaa hasa kama yeye ndio hasa chaguo la moyo wake!

so far jamaa hana kosa....

sio rahisi kwa culture yetu ,mama yako akuvulie nguo na wewe ujifanye mbishi..

culture zetu zipo deep mno...

labda mungu ameonesha kuwa hao wawili waliandikiwa wawe pamoja...

sasa bora mdada asamehe,warudiane....

mama huyo kashaumbuka na kujifunza....

Back
Top Bottom