Nilikufanyia ushenzi wote, Saivi najuta!!

Nilikufanyia ushenzi wote, Saivi najuta!!

L, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani.
Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi.
Kila nilipoanzisha mada yenye ugomvi, kwa sura ya upole ulikaa kimya ili kujitenga na ugomvi wangu.
Nilikuonea wivu sana hata kwa vitu ambavyo si kweli.
Ulikuwa tayari kukosana na wazazi ndugu na jamaa kwa ajili yangu.
Kipindi sina pesa ulinisaidia sana, japo na mimi nilipozipata nilikusaidia.
Kipindi chote hukuwahi nikatalia chochote
Uliniaga unaenda nyumbani, imepita mda sasa, meseji hujibu wala kupokea.
*Baada ya mda kupita bila mawasiliano na wewe, mda wote nilikosa furaha, nkaanzisha mahusiano na mwingine,
Ebhana eh, huyu amekuja kudhibitisha kuwa wewe ulikuwa mwanamke uliyevumilia mengi kutoka kwangu.
Nilidhani kuingia mahusiano mapya nitakusahau lakn kumbe ndo nimezidi kukukumbuka,
Tafadhali popote ulipo rudi, nimejifunza na kujutia mengi.
You were the super woman!
Acha wenge ww na huyo piga chini chukua chuma kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila watu wengi tukipendwa na wapenzi ambao tunaona hawana sifa/ vigezo tulivyojiwekea vichwani huwa tunatabia ya kuwa-MISTREAT, pamoja na kuoneshwa upendo wa hali ya juu huwa hatuoni, tunapambana kuchepuka kutafuta wale wenye sifa tunazotaka. kumbe tukiwapata nao wanatuona hatuna vigezo wanavyohitaji so na sisi tunaishia kuumizwa kama tunavyowaumiza wengine. Sio kila upendo hutotea NATURALLY they say Love at first sight. Sometimes we LEARN TO LOVE with time.
 
Babu hajawahi nifanya nivumilie we hushangai na uzee wote alonao bado nimemganda?!


Maendeleo hayana chama
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Maendeleo hayana chama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom