sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,920
Nime-edit mkuu, Amen ilisaaulika tuu yani.Mkuu sio la kucheka kwa kweli wanawake wote tuseme Ameen jamaa asifanikiwe kumuona huyo bibie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime-edit mkuu, Amen ilisaaulika tuu yani.Mkuu sio la kucheka kwa kweli wanawake wote tuseme Ameen jamaa asifanikiwe kumuona huyo bibie
Harudi NG'O. Imekula kwako. Mwanamke wa dhati akiondoka, huondoka daima.L, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani.
Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi.
Kila nilipoanzisha mada yenye ugomvi, kwa sura ya upole ulikaa kimya ili kujitenga na ugomvi wangu.
Nilikuonea wivu sana hata kwa vitu ambavyo si kweli.
Ulikuwa tayari kukosana na wazazi ndugu na jamaa kwa ajili yangu.
Kipindi sina pesa ulinisaidia sana, japo na mimi nilipozipata nilikusaidia.
Kipindi chote hukuwahi nikatalia chochote
Uliniaga unaenda nyumbani, imepita mda sasa, meseji hujibu wala kupokea.
*Baada ya mda kupita bila mawasiliano na wewe, mda wote nilikosa furaha, nkaanzisha mahusiano na mwingine,
Ebhana eh, huyu amekuja kudhibitisha kuwa wewe ulikuwa mwanamke uliyevumilia mengi kutoka kwangu.
Nilidhani kuingia mahusiano mapya nitakusahau lakn kumbe ndo nimezidi kukukumbuka,
Tafadhali popote ulipo rudi, nimejifunza na kujutia mengi.
You were the super woman!
Ulidhani karma itakuacha salama?daah. umenikumbusha mtu 1, kila nilikuwa nikitaka kuchepuka basi nazua ugomvi wowote ili nizime simu na kuzama gesti kulala huko.
nikirudi asbh ghetto namkuta A. wangu asha fika anafanya usafi, anaomba msamaha kwa yaliyo tokea jana yake.
sijawahi pata mwanamke kama yule, sikushangaa hata aliye muoa alimfatilia kwa 5yrs ila muda wote alikuwa hataki akimini mimi ndo mmewe.
Now nakutana na vizazi jeuri hadi nimeamua kupumzika mahusiano rasmi nimebakiza chapa ilale.
Khaaaa!
Mkuu sio la kucheka kwa kweli wanawake wote tuseme Ameen jamaa asifanikiwe kumuona huyo bibie
Babu hajawahi nifanya nivumilie we hushangai na uzee wote alonao bado nimemganda?!
Kumekucha mchepuko wangu wa mileleShkamoo mchepuko wangu..
Mekuota ujue
Afadhali umemjibu mwenyeweBabu hajawahi nifanya nivumilie we hushangai na uzee wote alonao bado nimemganda?!
Maendeleo hayana chama
Ewaaaaa...Kumekucha mchepuko wangu wa milele
Twenzetu tukaitimize ndoto yako takatifu
Anajaribu kutuchonganisha mchepuko wangu wa kudumuAfadhali umemjibu mwenyewe
Nakuja. Huu ndo muda muafaka wa kumtengeneza binti yetuEwaaaaa...
Hebu ukuje hima
Alegee kabla ya kushindwaAnajaribu kutuchonganisha mchepuko wangu wa kudumu
Umejuaje?!! Naomba Mungu awe mrefu kama mimi maana akichukua kimo chako ni changamotoNakuja. Huu ndo muda muafaka wa kumtengeneza binti yetu
Na adidimieeAlegee kabla ya kushindwa