jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,368
Naomba huyo Dada asipatikane tena awe aliibiwa simu na namba yako kaisahau....na awe ameolewa na ana mapacha watatu..amen
Mama vipi umeachwa unamalizia hasira JF
Naomba huyo Dada asipatikane tena awe aliibiwa simu na namba yako kaisahau....na awe ameolewa na ana mapacha watatu..amen
Sio mbaya!
Kwa namna moja au nyingine lazima mtu yoyote ajifunze chochote kutokana na upumbavu.
Sasa umejifunza na umejua how a good woman looks like.
Ushauri:
Huyo binti hata usimtafute tena kwa maana hata ukimpata hatokuwa yule wa mwanzo uliyemjua,brobably nae pia amejifunza not to respect someone like YOU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana wanawake hawapendi maudhi, jitahidi kwa udi na uvumba mtafute. Mimi nilivurugana na wangu mammaae noma sana, nikaja humu kutafuta demu, bilabila, nikajishusha aisee sasa hivi sina tabu nae tena akisema ngwaaa mie nasema gweee maisha yanasongaL, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani.
Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi.
Kila nilipoanzisha mada yenye ugomvi, kwa sura ya upole ulikaa kimya ili kujitenga na ugomvi wangu.
Nilikuonea wivu sana hata kwa vitu ambavyo si kweli.
Ulikuwa tayari kukosana na wazazi ndugu na jamaa kwa ajili yangu.
Kipindi sina pesa ulinisaidia sana, japo na mimi nilipozipata nilikusaidia.
Kipindi chote hukuwahi nikatalia chochote
Uliniaga unaenda nyumbani, imepita mda sasa, meseji hujibu wala kupokea.
*Baada ya mda kupita bila mawasiliano na wewe, mda wote nilikosa furaha, nkaanzisha mahusiano na mwingine,
Ebhana eh, huyu amekuja kudhibitisha kuwa wewe ulikuwa mwanamke uliyevumilia mengi kutoka kwangu.
Nilidhani kuingia mahusiano mapya nitakusahau lakn kumbe ndo nimezidi kukukumbuka,
Tafadhali popote ulipo rudi, nimejifunza na kujutia mengi.
You were the super woman!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekomaaadaah. umenikumbusha mtu 1, kila nilikuwa nikitaka kuchepuka basi nazua ugomvi wowote ili nizime simu na kuzama gesti kulala huko.
nikirudi asbh ghetto namkuta A. wangu asha fika anafanya usafi, anaomba msamaha kwa yaliyo tokea jana yake.
sijawahi pata mwanamke kama yule, sikushangaa hata aliye muoa alimfatilia kwa 5yrs ila muda wote alikuwa hataki akimini mimi ndo mmewe.
Now nakutana na vizazi jeuri hadi nimeamua kupumzika mahusiano rasmi nimebakiza chapa ilale.
Waliopenda usiwaone wazembeL, kila nikikukumbuka moyo wangu unakosa amani.
Wewe ulikuwa mwanamke mwenye roho ya kuvumilia mengi, Nilikuchukulia simple sana nkakufanyia kila aina ya maudhi.
Kila nilipoanzisha mada yenye ugomvi, kwa sura ya upole ulikaa kimya ili kujitenga na ugomvi wangu.
Nilikuonea wivu sana hata kwa vitu ambavyo si kweli.
Ulikuwa tayari kukosana na wazazi ndugu na jamaa kwa ajili yangu.
Kipindi sina pesa ulinisaidia sana, japo na mimi nilipozipata nilikusaidia.
Kipindi chote hukuwahi nikatalia chochote
Uliniaga unaenda nyumbani, imepita mda sasa, meseji hujibu wala kupokea.
*Baada ya mda kupita bila mawasiliano na wewe, mda wote nilikosa furaha, nkaanzisha mahusiano na mwingine,
Ebhana eh, huyu amekuja kudhibitisha kuwa wewe ulikuwa mwanamke uliyevumilia mengi kutoka kwangu.
Nilidhani kuingia mahusiano mapya nitakusahau lakn kumbe ndo nimezidi kukukumbuka,
Tafadhali popote ulipo rudi, nimejifunza na kujutia mengi.
You were the super woman!
Amen naiweNaomba huyo Dada asipatikane tena awe aliibiwa simu na namba yako kaisahau....na awe ameolewa na ana mapacha watatu..amen
Acha kujifariji lazima namba uisomeMawazo ya MUNGU si kama ya MWANANDANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mbavu zangu. Ameen.Naomba huyo Dada asipatikane tena awe aliibiwa simu na namba yako kaisahau....na awe ameolewa na ana mapacha watatu..amen
Hahahaha umenichekesha mno
Mkuu sio la kucheka kwa kweli wanawake wote tuseme Ameen jamaa asifanikiwe kumuona huyo bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mbavu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chozi la mwanamke huwa halipotei bure.Mawazo ya MUNGU si kama ya MWANADAMU, NATENGUA MAOMBI YAKO KWA JINA LA YESU.