Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Huyu anahitaji msaada. Walio karibu naye wamsaidie. Kuna siku atakuja kujiua kweli (God forbid).[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo bwana mkubwa unajitekenya na kucheka mwenyewe??
Titicomb na SHIMBA YA BUYENZE nawaomba hapa tafadhali.!!
Anzisha mtandao wako na ww mkuuApigwe ban ya maisha kutotuma vitu JF ikithibitika katuma taarifa za uongo kuhusu kifo cha mtu.
Kwani umeandika taarifa za uzushi?Anzisha mtandao wako na ww mkuu
Boy mbona unapenda kuumiza Mind yako huoni humu mtandaoni jamaa wanavyokuongezea Stress kila mtu anakutusi, kukejeri, zihaki...ID uliyobaki nayo kama haina kazi ukijiroga kuandika uzi washamburiaji wata gain momentum tena.Anzisha mtandao wako na ww mkuu
Jamani Don C, you have my blessing from now onwards.!!Hivi nifanyeje ili na mimi uwe uni mention!
Toka 2017 wapo pamoja na wanafahamianaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kawachezeaa akilii wakuu hapaa..[emoji12][emoji116]View attachment 1522357
Najaribu kuwaza, wanatuchukuliaje awa jamaaToka 2017 wapo pamoja na wanafahamianaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kawachezeaa akilii wakuu hapaa..
Yani mwana anatafuta umaarufu JF alafi yupo nyuma ya keybod hakuna hata anaemjua physicall.. Kuna shida mahaliiNajaribu kuwaza, wanatuchukuliaje awa jamaa
Jamani Don C, you have my blessing from now onwards.!!
Woow'Just wanted to say hi to you in that fashion.
Happy Eid
Woow'
Eid Mubarak Don C, karibu nyumbani.!!
Nini kinaendelea!!????[emoji12][emoji116]View attachment 1522357
Leo ndio nimegundua kwanini this week alikufa tena....Wewe ni muongo, kwa Tarime hakuna sehemu unaweza panda gari saa ukafika saa 1 hata ukitembea kwa mguu huwezi tumia muda huo.
Story ya kutunga.