Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Huyo jamaa tumeshampoteza lakini hajafa bado.
Ana shida kubwa sana, nasikia bangi ya Mara ni kali sana kuliko kitu cha Meru.
Muulize majina sahihi ya Umomi na msiba wake upo wapi tuhudhurie mazishi?
Gheto la marehemu alikopigania mrembo lipo mtaa gani huko Dom, mwenye nyumba ni nani? Mjumbe wao ni nani?
Kigorohe tupe majibu hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…