Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Ufufuke umekuwa Yesu..?
 
Mambo mengine haya au kachuliwa kweli na wale aliowatangaza humu?
 
Mbona majina yote lako na lake yana Maana kwa kikurya??? Alafu why hiyo habari ya yeye kunywa sumu haijatambaa kwenye mitandao ukizingatia ni mwanafunzi wa chuo lazima ingekuwa habari ya mjini
Em ingia website ya chuo kama www.udom.ac.tz angalia vifo vilivyotekea mwezi may afu uniambie kama ulivisikia vikitangazwa ktk vyombo vya habari au mitandaoni. Kama siyo mwanachuo wa chuo husika huwezi kujua
 
Vifo vya kawaida havina haja ya kutangazwa kwa nguvu ambayo ni sawa na vifo ambavyo sio vya kawaida

Mfano;Kifo cha Malaria hakiwezi kutangazwa kila mahala kama kifo cha Kubakwa,

Kujiua kwa aina yeyote ile sio sawa na kufa kwa kuumwa homa.

Hivyo ni ajabu sana kuwe na kifo cha mwanafunzi kunywa sumu mpaka kufa kisha kisha vyombo vya habar visiupe uzito habar hiyo.
 
Kwa umri huo unasema umeona mengi wew
...

Acha kamba subiri muda wa beberu ndo utajua dunia siyo ya babakooo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…