Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Aiseee, hatari sana, mimi sina comment yoyote mana mwandishi aliweka wazi kabla hajaanza kusimulia
 
Nimegundua watu wa humu ndio wanaofanya wanaoanzisha thread wasimalizie story zao,hata kama anatunga si uzi ni wake,inafika kipindi thread inajaa page tatu au nne ukija kuangalia zote ni vijembe na kejeli kwa muanzisha thread
Kweli kabisa.
Watu wanatafuta sehemu iliyokosewa tu wapate kukosoa.
 
Hizo siku 3 ambazo ilionekana umekufa wewe ulikua unajionaje? I mean wakati wengine wanakuona wewe kama marehemu wewe ulikua unajionaje?, hukubanwa na haja wala njaa?
 
Mkuu ulijuwaje kama umekata roho?na nini kikitokea ukajihisi umekata roho?pia anayekufa hata kimazingaza anakuwa pembeni ya mwili ...iweje uweze kumkonyeza mwalimu wako?nini kilitokea?
 
Nimegundua watu wa humu ndio wanaofanya wanaoanzisha thread wasimalizie story zao,hata kama anatunga si uzi ni wake,inafika kipindi thread inajaa page tatu au nne ukija kuangalia zote ni vijembe na kejeli kwa muanzisha thread
Wanapenda thread za mapendeko
 
Wanatafuta sifa hovyo hao story atoe mwingine ila wao kuweka masahihisho wamuache amalizie, halafu huyo anayesema lami ilikuwepo unaweza kuta alipo yeye anatimuliwa vumbi tu ila kujitutumua kama wale wanao pita pita kuomba teuzi
 
Ilikuwaje ukamkonyeza Mwl ? Au alikuwa mtaalamu nayeye?
Story nyingine duu mpaka yakukute haa haaa
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…