Nilikua VITANI sasa nimerudi.....Tusalimiane

umetoka vitani,sehemu gani?kamilisha habari yako
 
haa,nilifikiri umetoka somalia,kulinda amani,lakn powa yote kheri,huko kwenye mapambano ya kiroho ulikuwa unapambana na nani?
 
Barikiwa ila kumbuka vita bado kubwa hivyo nakuombea kushinda zaidi ya kushinda[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…