Nilikapenda haka kamsemo kutoka kwa mwana JF mmoja...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
"mfungwa wangu anatamani gereza lako"(nakumbuka alikua anafundisha mtu kutongoza)....salute ulietupia hii, maana haipiti cku cjaukumbuka na kucheka.

ww unakumbuka msemo gani humu JF? unaokupa raha au hata karaha!!
 
Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders (Lizzy & The Finest, 2011), Revision and Promotion (Kongosho, 2012)
Na hati miliki ziko brela.
 
Sredi nyingine bhana!! sasa huo msemo mbona ulikuepo ht kabla jei efu haijafikiriwa kuanzishwa.
POPOBAWA.
 
Sredi nyingine bhana!! sasa huo msemo mbona ulikuepo ht kabla jei efu haijafikiriwa kuanzishwa.
POPOBAWA.
ebo!!!cjasema nimsemo mpya..au haujawahi kuwepo!!ni kitu cha kukumbuka (mimi)
 
Eh! Sikujua kama ni gereza! Nitaomba niwe mfungwa wa maisha, lakini kwenye magereza tofauti tofauti, ikibidi hata kwa condoliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom