Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hii khali inatisha usiku ukionekana na wasichana basi wewe ni teja wa mkahaba.............
kasheshe kweli jamani uteja wa makahaba.@Rutashubanyuma
MziziMkavu unaweza kukuta kasingiziwa tu........kasheshe kweli jamani uteja wa makahaba.@Rutashubanyuma
Mary Nagu kuna kijana amemfunga kisa alikuwa anatembea na mtoto wake na yeye ni masikini akamkanya aache kutembea na mtoto wake hakusikia ndipo alipomkamata na kumfungulia kesi ya ubakaji..
MziziMkavu unaweza kukuta kasingiziwa tu........
ndo maana nachukia polisi na mapolisi wote, huyo RCO alijiniwa nini cha ajabu hapo mpaka samtese? Inaonyesha kama kuna bifu binafsi...... Kazi hawafanyi kutwa kubambikia watu makosa, inaudhi sana
Sijafunguliwa kesi yoyote...ila mama alichukia nilivombandua mtoto wa kaka yake yule aliyepo pale rita
BADILI TABIA Kwa khali hii ninashikuru mimi siyo polisi........