Huyu jamaa anyongwe tu hakuna namnaHii laana inazidi kusambaa kama moto wa nyasi mbuganiView attachment 3560935View attachment 3560936
InsestSasa hivi haya mambo yamekuwa ni ya Kawaida kiasi kwamba watu wakiyasikia hawastuki sana
Haya mambo yalianza miaka ya 90.. Uumbaji ulipoanza kunajisiwa kwa kasi ya aina yake
Wababa kutembea na mabinti zao mpaka wengine kuwapa ujauzito na kuzaa nao ama kufanya abortion
Wamama kuingia kwenye mahusiano na watoto wao wa kiume mpaka kufikia kufunga nao ndoa
Mabinti kugombana na mama zao kwa ajili ya mahusiano na baba zao
Matokeo yake wazazi wakaanza kuwalaani watoto wao na laana hizo ndio zimezaa mauaji mengi ya wazazi wanaouliwa na watoto wao wa kuwazaa
Iwe kwasababu za kishirikina, utajiri, umaarufu urithi nk.. Lakini haya mambo yana asili yake
Haya yanayotokea sasa ya wanandoa kuuana kwa sababu ya mali ama wazazi kuwaua watoto wao hasa wadogo kwa ajili ya mali si mambo ambayo hayana asili ama yametokea bila chanzo
Ni laana kubwa kwa wazazi kuingia kwenye mahusiano ya kingono na watoto wao wa kuwazaa
Ni laana kwa watoto wa tumbo moja kuingia kwenye mahusiano ya kingono
Haya mahusiano huwa na nguvu sana lakini pia huwa na matokeo hasi makubwa sana
Hizi laana za kingono kati ya ndugu wa damu zina athari mpaka kwenye ardhi na vizalia vinavyofuata!
Tusisahau kunywa pombeMifumo ya kujiingizia kipato ilegezwe, soko liwe huru, ushindaji wenye tija, mikopo iwepo pasipo upendeleo, mfumo wa elimu ubadilishwe, sera zuri za kiuchumi kiundwe, uwezeshwani wa viwanda vidogo na bidhaa bunifu bila masharti, uwepo wa wanasaikolojia ngazi ya kata, kupumguza au kutokomeza waganga haramu wakienyeji, kutumia madini na rasilimali za nchi kuimarisha shilingi ili kuipa thamani na kupumguza mfumuko wa bei, rai kuchukulia kama binadamu na sio watu...
Nadhani tukifanya hayo hii nchi itakua na watu werevu, wachapa kazi, wawajibikaji, wenye upendo, wenyekipato kidhi na zaidi, WENYEFURAHA, wenyemawazo chanya, watii, wanaopenda wenza na WENYEKUPENDA MAISHA. Tusiona watu wanauwana, tunazungukia mbaaaaali tunaimba nyimbo za laana mara sijui utajiri wa waganga BIG NO.
Turudi kwenye misingi tuloiacha hapo juu, tuache uchawa na kusikiliza mawazo ya watu ndo yatumike kuendesha maisha. Happ ndo tunafeli zaidi, hapo tu.
Tusaidiane kuwa na maisha mazuri kijamii, kiuchumi na kisaikolojia. Ndo maana yangu kwa ufupi. Laana haina nafasi hapa.
M.B..... Tusisahau kunywa pombe.
Omba isije ikanyesha na kwenu dunia sasa hivi ipo vululuvululu la mbele lipo nyuma la nyuma lipo mbele.Acha inyeshe tuone panapovuja
ndio mkuu í ½í¸Tusisahau kunywa pombe
Duhí ½í¸
hilo haliwezekani mkuu mpaka yesu anarudiMifumo ya kujiingizia kipato ilegezwe, soko liwe huru, ushindaji wenye tija, mikopo iwepo pasipo upendeleo, mfumo wa elimu ubadilishwe, sera zuri za kiuchumi kiundwe, uwezeshwani wa viwanda vidogo na bidhaa bunifu bila masharti, uwepo wa wanasaikolojia ngazi ya kata, kupumguza au kutokomeza waganga haramu wakienyeji, kutumia madini na rasilimali za nchi kuimarisha shilingi ili kuipa thamani na kupumguza mfumuko wa bei, rai kuchukulia kama binadamu na sio watu...
Nadhani tukifanya hayo hii nchi itakua na watu werevu, wachapa kazi, wawajibikaji, wenye upendo, wenyekipato kidhi na zaidi, WENYEFURAHA, wenyemawazo chanya, watii, wanaopenda wenza na WENYEKUPENDA MAISHA. Tusiona watu wanauwana, tunazungukia mbaaaaali tunaimba nyimbo za laana mara sijui utajiri wa waganga BIG NO.
Turudi kwenye misingi tuloiacha hapo juu, tuache uchawa na kusikiliza mawazo ya watu ndo yatumike kuendesha maisha. Happ ndo tunafeli zaidi, hapo tu.
Tusaidiane kuwa na maisha mazuri kijamii, kiuchumi na kisaikolojia. Ndo maana yangu kwa ufupi. Laana haina nafasi hapa.
M.B..... Tusisahau kunywa pombe.
kabisaaa.. Na lile jingine wanasema wapeni maskini mvinyo walewe wasahau shida zaoTokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.