Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,627
Je ni kweli imetokea nyumbani? au ni Wakenya wanatumia jina letu maana hao majirani zetu ni wajanjawajanja kama Wanaijeria vile. Paketi imeandikwa made in Tanzania
Mkuu unakumbuka uliletaga uzi kuhusu hii picha huko Sauz?Je ni kweli imetokea nyumbani? au ni Wakenya wanatumia jina letu maana hao majirani zetu ni wajanjawajanja kama Wanaijeria vile. Paketi imeandikwa made in TanzaniaView attachment 1225089View attachment 1225090
mkuu acha ugomvi basi
Coffee roastersNi bidhaa gani hiyo
Nadhani kuna papa upanga katokea huko baharini
Nina wasiwasi sana na Wakenya au Wanaijeria kulitumia jina Tanzania kama gia ya kuwaingiza chaka Wasouth. Nilikuta akiwanayo jikoni
acha masihara mkuu kuwa MzalendoMade in Tanzania nikadhani gari
Unanishauri vipi hawa matapeli kuwaripoti kwani wanatumia jina pia la Tanzania ukikumbuka ndio nchi raia wake kidogo wanaaminika bondeniMkuu kwa ninavyofahamu,Asmara ni mji mkuu wa Eritrea,na nembo ya hiyo bidhaa ni Asmara.Kinachonipatia ukakasi ni neno la kiswahili hapo "pamoja".
Ukisoma historia ya kahawa nadhani chimbuko lake ni huko Ethiopia/eritrea. Sasa nadhani hiyo labeling inaweza kuwa ni kati ya Tanzania au Kenya wanafanya utapeli kutumia jina la Eritrea.
hiyo picha ni photoshop,sio halisi haina uwiano
Nina wasiwasi sana na Wakenya au Wanaijeria kulitumia jina Tanzania kama gia ya kuwaingiza chaka Wasouth. Nilikuta akiwanayo jikoni