ustaarabu wa kwamba simu ni yenu wote na hamna cha kuficha mi ulishanitokea puani!mtu kakuta msg ya utani simuni,pamoja na maelezo ya zaidi ya masaa manne na kumpa uthibitisho wote mtu haelewi tu!kila saa kupekuana,umemaliza kuangalia champions league umesinzia dakika hata tano bado,mtu huyo kwenye simu,sipendiiiiii!
najua sasahivi haikusaidii ila labda baadae inaweza saidia.............simu kila mtu atumie ya kwake,marufuku kushika wala kupokea ya kwake na yeye asiguse ya kwako!sipendi kuchunguzwa kama nisivyopenda kuchunguza!