Nilifikiri Moise Katumbi ni mnjanja kumbe wapi

Nilifikiri Moise Katumbi ni mnjanja kumbe wapi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Nilifikiri Moise Katumbi ni mjanja kumbe bado anatumia siasa zile za kupana sijui vitenge sijui mapipi sijui nini
Kuliko kujikita zaidi katika siasa za akili.

Afrika ukiwa chama pinzani hata uwe na wafuasi milioni moja na chama tawala kina wafuasi laki moja sio ajabu kuona chama tawala kinapita. Watu tunaendaga tu kukamilisha uchaguzi lakini matokeo wanapanga wao.

Ili kutoa chama tawala madaraka kwa mabavu ni kuwachongonisha na wananchi ili wafanye maandamo ya kutaka Rais ajiuzulu.

Hakuna jeshi lenye nguvu ndani ya nchi kama wananchi wenyewe wananchi wakisema imetosha ndugu yangu hata ulikuwa bado una miezi miwili madarakani unaondoka, kwa bahati mbaya wa Afrika hatujui hivyo ndio maana tunaongozwa na watu ambao hawafai kuwa hata viongozi wa kanisa.
 
Nilifikiri moise katumbi ni mjanja kumbe bado ana tumia siasa zile za kupana sijui vitenge sijui mapipi sijui nini
Kuliko kujikita zaidi katika siasa za akili

Afrika ukiwa chama pinzani hata uwe na wafuasi milioni moja na chama tawala kina wafuasi laki moja sio ajabu kuona chama tawala kinapita
Watu tunaendaga tu kukamilisha uchaguzi lakini matokeo wanapanga wao

Ili kutoa chama tawala madaraka kwa mabavu ni kuwachongonisha na wananchi ili wafanye maandamo ya kutaka rais ajiuzulu


Akuna jeshi lenye nguvu ndani ya nchi kama wananchi wenyewe wananchi wakisema imetosha ndugu yangu hata ulikuwa bado una miezi miwili madarakani unaondoka kwa bahati mbaya wa Afrika hatujui ivo ndio maana tunaongozwa na watu ambao hawafai kuwa hata viongozi wa kanisa
Wewe acha matani bwashee, Congo DR wote ni wasanii
 
Back
Top Bottom