Mkuu niliumia sana kitendo hiki hapa ni miezi sita sasa nipo mtaaani kila nikienda kuomba kazi naulizwa vyeti nina cheti cha form six kipo fresh ila ndo hawataki mkuu sasa nafanyaje?Umedisco bado unang'ang'ania nn?
Waja mna maneno ya kuudhi (japo Kuna kaukweli)Kichwa kibovu hicho! Achana na kusoma njoo mtaani tuuze mitumba.
Nipo tayari mkuu sema where to start na sina ndugu hapa dar naishi kwa wana tuu yan kila nikipata buku nibet nipate hata mtaji wa kununua belo la nguo niuze sipati kichwa kinauma ndo nikasubiri mda wa loan board wafungue nijaribu kuapplyUnaumia nn na Akili ya Darasani Huna?. Njoo Karume tuuze mitumba
Ndio maana umedisco kwa kuwa huna akiliMkuu niliumia sana kitendo hiki hapa ni miezi sita sasa nipo mtaaani kila nikienda kuomba kazi naulizwa vyeti nina cheti cha form six kipo fresh ila ndo hawataki mkuu sasa nafanyaje? Sina baba sina mama sina urithi wowote yan hua nawaza nipate mtaji lakini kila nikibet wapi nimekua mcheza kamali ili kutafta mtaji lakini nagonga mwamba hebu nisaidie hapa
Hapana mkuu yan kuna vitu binadamu anapitia unaweza kusema labda ni mzembe ila ni kwakua hujapitia hiyo hali mimi mfano nina ideas kubwa sana kwa kichwa ambazo kama nikipata mtaji nabutua ila sina huo mtaji nahangaika kubet napata hela ya kuchangia kodi na mwana kila nikipata hata 20 unakuta ndio mda wa kununua umeme,kulipia maji,ulinzi shirikishi kulipia 2000 ila ukimueleza mtu anaweza kudhani ni uvivu wa kufikiri ila hapanaWaja mna maneno ya kuudhi (japo Kuna kaukweli)
Hii ni second option imenisaidia kwa kiasi mpaka sasa na ukiniuliza kuhusu hii michezo ntakwambia ni wizi mtupu unafanyika unaweza kubet laki ukala elfu ishirini kwa hyo ratio ya ushindi na loss ushindi ni kidogo sanaNdio maana umedisco kwa kuwa huna akili
Nani alikwambia kubet ni jambo la maana?
Ulikuwa unasoma degree ya nini kwanza kblsijakushauri?Hapana mkuu yan kuna vitu binadamu anapitia unaweza kusema labda ni mzembe ila ni kwakua hujapitia hiyo hali mimi mfano nina ideas kubwa sana kwa kichwa ambazo kama nikipata mtaji nabutua ila sina huo mtaji nahangaika kubet napata hela ya kuchangia kodi na mwana kila nikipata hata 20 unakuta ndio mda wa kununua umeme,kulipia maji,ulinzi shirikishi kulipia 2000 ila ukimueleza mtu anaweza kudhani ni uvivu wa kufikiri ila hapana
BA ArchaeologyUlikuwa unasoma degree ya nini kwanza kblsijakushauri?
Mbona ulidisco course rahisiBA Archaeology
[emoji1787]Kichwa kibovu hicho! Achana na kusoma njoo mtaani tuuze mitumba.
B.A.in accounting preparation of Financual statement, balance sheet .correction of error incase of missing figure or incomplete record pia ni bingwa katika double taxation agreement kwa model zote za UN and OECD yaani kichwani kuna kitu hua natamani hata mtu aote aniajiri kama cheap labor anilipe hata laki kwenye kampuni yake nimpe management and administrative skills cuz sikuenda chuo kushiriki nilielewa nilichosomaUlikuwa unasoma degree ya nini kwanza kbl sijakushauri?
Mkuu nisamehe bure,Laiti ningedisco kwa kufeli ningeamini kuwa kichwa kibovu ila kwakua huelewi ngoja nikuache
Ushauri wako mkuu umekua na michango maridhawa sana hapa jukwaani kwa kipindi kifupi nilichokua humu ndani nipo serious na hii issue nimestuck mahali yan nilikua siijui pombe lakini saivi K vant nakunywa hata siskii ukali naona kama maji tuuPole sana endelea kupambana.
Well said nilienda bodi walinambia hiki kitu sasa hela ya kulipa ni sina nikajua kuna mbinu nyingine nilikua nalipiwa %100 na ili nipate 25% ndo natakiwa nilipe hapa hata sh mia sina yan naumia sana tena sanaa kama unamiliki AK 47 niingie congo nimekata tamaa na maishaMkuu nisamehe bure,
Hao wadau wamenichekesha japo si Mambo ya kucheka.
Nimesoma shule,naelewa ugumu wa shule, siwezi kukushangaa wewe kwa kudisco..ila mkopo bodi ya mikopo huwezi kupata tena unless umelipa kwanza asilimia fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukata tamaa hakutabadilisha chochote.Well said nilienda bodi walinambia hiki kitu sasa hela ya kulipa ni sina nikajua kuna mbinu nyingine nilikua nalipiwa %100 na ili nipate 25% ndo natakiwa nilipe hapa hata sh mia sina yan naumia sana tena sanaa kama unamiliki AK 47 niingie congo nimekata tamaa na maisha