mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,468
- 14,504
Hajielewi huyu jamaa Kama demu umemkubali ana vigezo mahali anapokaa panakudhuru nini?au anafikiri uchi wa demu wa Mbezi beach ni tofauti na uchi wa demu wa Gongolamboto?Kinachokuuma ni yeye kukaa survey au wewe kutumia 110,000Tzs?
Mimi sijaona tatizo la huyo binti, labda kama ni kosa kwa mtu anayeishi survey(wengi huwa wanafunzi wa chuo udsm au ardhi) kwenda mlimani city
Utakuwa ni limbukeni sana wa maisha
Inaonekana bado hela inamsumbua hajaizoea bado.... Mbwembwe nyingiii utasema kwamba akikaa mbezi beach au masaki atakutana na yenye asali ya nyuki wadogoHajielewi huyu jamaa Kama demu umemkubali ana vigezo mahali anapokaa panakudhuru nini?au anafikiri uchi wa demu wa Mbezi beach ni tofauti na uchi wa demu wa Gongolamboto?
Utamu ni ule ule,fanya kitu kwa interests zako na sio kwa ajili ya kujionesha kwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
VSOP parefu sana. Hata Jameson hainunui 777.
Anatumia na mbebezi laki na 10 anakuja kulalamika huku kama vile katumia heeeeela.
Ushamba kitu kibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho ndo pamemdefine..
Kuna maisha hajayazoea. Amekariri mtu kupendeza ni kuwa na kipato wakati ni umaridadi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui umaridadi unaficha umasikini, hapo katumia 110,000 tuu anatoka povu hivu [emoji23][emoji23]
Mjinga huyu kaja humu anafikiria anamdhalilisha huyo mwanamke kumbe anajidhalilisha yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wenzie hiyo anampa binti ya nauli baada ya kulipa bill ya kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
NakaziaYes uko sahihi yaani inavyoonesha huyu jamaa ni muigizaji wa maisha halafu akakutana na muigizaji mwenzie halafu mwisho wa siku anaanza kulaumu.
Watu wanaoishi maisha real huwa hawana muda wa kumchunguza demu katokea wapi huwa tunalipia bili tunayoimudu na sio kwa kuigiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] tena mediteraneo anajisifia wamekaa mpka usiku, walikula nini na kunywa nini cha bei rahisi hivyo
Sio kidding ni kweli mzeeMzee ile Passo bado unayo??
Am just kidding
Kweli kabisa. Alafu kama wadau walivyosema huyu jamaa ni mshimba.Demu sio muigizaji Bali jamaa. Angekua muigizaji angemletea maisha ya juu wala asingempeleka kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bia watakuwa walikuwa wanalamba.Hiyo laki yako hata Hennessy V. S. O. P hainunui unakuja kulia matumizi huku tena sijui mmekaa kuanzia saa ngapi hadi usiku
Acha ufala
Sent using Jamii Forums mobile app