Nilidhani huyu mwenye umri mkubwa atakuwa wa tofauti lakini wapi...

Wewe kama mimi, Mkuu ni mazuri lkn!

Tofauti yako na mimi ni kuwa yeye ni mke wa mtu, mimi alinilazimisha kuwa katika mapenzi kwa sababu tu ni kabila moja. halafu mume wake anasumbuliwa na maradhi ya kisukari. na siri nyingi sana alinipa.

Tofauti kati yetu, na Sweety sugar mumy ni miaka 25 (yrs net),
Binti yake uzao wa kwanza, namzidi miaka 5, sasa bila kujua wala kudhania mimi ni baba yake kijana wa kambo, akaingia kumi na nane zangu, sikuchelewa kwa mawazo yangu nikaamini huyuhuyu ataniokoa na mtego wa mama! nikachukua mazima,

Kitambo kidogo bidaye Mama mtu akagundua kinachoendelea, kuwa nina mgegeda binti yake kiaina! siku ya siku nikatiwa mtu kati kwa maswali,
nikajitetea kuwa ''nilianza naye kitambo sana kabla yako''. nilijua kuwa unajua kitambo ndo maana sikusita, pia nilijua kuwa binti yako alisha kwambia! kuwa mimi ni mtu wake wa karibu! Mama akasema alihisi hivo!

Nikamuuliza sasa itakuwaje na mimi nakupenda sana mama? akanambia subiri jibu!....


Huku sasa upande wa pili;
Binti nilimjenga kwa maneno kabla na mapema zaidi ya mama mtu kustukia mchezo. kwani nilijua tu '' one day mambo hadharani''
Siku moja nilizuga sina raha baada ya mgegedo,
km kawaida yao akaniuliza, nika mwambia ''tutaongea'' akasisitiza na kunibembeleza, bana duuu!

Nikasema - ''sikiliza! mama yako ananisumbua sana hata silali kwa mawazo nitafanyeje?'' hakuamini ninacho tamka!
unasema! nikamuonyesha meseji za Mamake za mahabat!

Nimemwambia kuhusu wewe, lkn hataki kunisikiliza, anadai ''binti yake haujaanza kufanya mambo hayo km wewe hunitaki usimsingizie binti yangu, si na yeye ni mwanamke?''

Binti nikamuuliza- ''kwani wee mama hujamwambia lolote?''

Akasema- ''thubutuu mama yangu mnoko, lazima tu ata mwambia Baba, na badhi ya washirika wa kanisani, Lazima nitafukuzwa kwenye kwaya ya Kanisa, namie sitaki ijulikane ki hivyo!''

Sasa itakuwaje baby wangu? akasema tutaongea kesho, ngoja niwahi kwenye mazoezi kwanza!

'' sawa nenda''

Basi nakwambia mkuu baba........... yaliyoko mbele ya Mapenzi haya mtashangaa! vijana wadogo nasema usi thubutu wala kucheza, au kujaribu kwa namna yeyote ile kuingia kichwakichwa, na kitu kinaitwa ''Mapenzi'.' bila ubavu.

Wanawake wako serious sana wanapo kuwa ktk nyanja ya Mapenzi kuliko wanaume.
Hii story saf japo imeishia gafla ebu endeleza wapo tunaojifunza vitu humu
 
Hapa karibuni niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja wa makamo hivi, alikuwa kwenye miaka 43+ na mimi kwenye 25+.

Before hatujaanza kudate aliniuliza kwanini nimeamua kumpenda mwanamke kama yeye ilhali ni mkubwa mno kiumri kwangu.

Kwa kweli nikamjibu kuwa nimechoka na drama za girls of my age. Mambo ya calling all the times, wivu kupindukia, kuomba omba hela, kuzungushwa kwenye gem ndo moja ya vitu vilivyonichosha.

Akanielewa na akaridhia ombi langu.

Lakini cha ajabu penzi lilipokolea, na yeye akaanza kufanya the very same things ambavyo girls on my age wanafanya. Things like wivu sana, usipopokea on time simu anasema unamcheat, ukichelewa kujibu text anakasirika eti unachat na mchepuko and staffs like that.

Je, guys ni kweli hata mwanamke awe mkubwa vipi hizi drama huwa ni ngumu kuziacha?
Ulichokosea ni kumuweka wazi kabla kuwa hutak mademu wa age yako kwa sababu ulizompa nae anazitumia
 
Hakuna tofauti, kupenda hakunaga majaribio ata siku moja

Unaweza sema ah mi hayo mambo sina lkn utamu ukikolea ndipo wivu unapoanzia

Wanawake wote wana wivu tu, awe mwenye umri mkubwa au mdg, awe msomi au sio msomi , wivu upo pale pale hasa akikupenda sana.
Mwanamke na mwanaume nani anapenda ziadi ?
 
Aisee mi kipindi hicho nina kama 22 kuna demu wa rafiki yangu aliniunganishia rafiki yake mwenye miaka 40 na alikuwa na mwili mkubwa ila hakuwa na matatizo kabisa, mwisho wa siku nilikimbia mimi maana ukiongozana nae watu wanajua niko na mama angu.
Hongera snaa mkuu
 
Back
Top Bottom