Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
pole,jipange utazipata tena na yeye yatamfika kwa kudhulumu
Duh, huyo naye ni katili kupitiliza. Wenzake huwa wanaolewa kimya kimya. Yeye kakuletea na kadi kabisa? Lol. Pole sana!
Kuna mtindo mpya siku hizi ambao wanaume wengi wanaosomesha huwa wanautumia nao ni kumtia mimba huku akiendelea na shule. Lakini kwa sasa wewe ushachelewa. Muachie Mungu. Usimdhuru wala usimhukumu. Itakuuma, utashindwa kula, utashindwa kulala, kama unafanya kazi utaharibu, kama unasoma utafeli, lakini ni la muda. Haitazidi miezi sita utaanza kuzoea na kusahau. Halafu utampata anayeendana na wewe.
Lakini nikuchekeshe, Mungu alivyo wa ajabu. Haitapita miaka mitatu, utamshukuru na kusema bora uliniepusha na janga hili. Na zaidi ya yote, hakuna ubaya utakaopita bila malipo. Ila usilipe kisasi, maana kisasi hulipwa na Mungu. Muachie Mungu atende kile kinachompendeza. Mshukuru sana Mungu kwa yaliyotokea. Najua itakuwa vigumu kwa sasa, lakini with time utaelewa ni kwanini imekuwa hivyo.
Dhuluma imetoka wapi hapo? So far tunaona mtu kaleta ukimwaga mwenyewe bila kujua mjini watu wana matatizo na hawakatai ofa isiyo na masharti ya kueleweka.
Wewe mtu humpendi unaweza kukubali kuolewa naye kisa kakutengeneza nywele na kukupiga sapsap?
Nilitumia zaidi ya asilimia 90 ya mshahara wangu kumsomesha......nilikuwa na salun ya kiume na kike vyote vikafilisika kwa ajili ya matumizi yake akiwa chuo......nilijua yy ndo kila kitu kwangu....
kamdhulumu penzi mwenzie kwa kumuhadaa kuwa watakuwa wote pamoja baadae......kwa huyo dada hajui theres karma,and karma is a bi*ch:redfaces:
Nilitumia zaidi ya asilimia 90 ya mshahara wangu kumsomesha......nilikuwa na salun ya kiume na kike vyote vikafilisika kwa ajili ya matumizi yake akiwa chuo......nilijua yy ndo kila kitu kwangu....
Mambo yake yamenyooka kapata kazi na mshahara mzuri.....
Ehhhh MUNGU nisamehe mimi leo naletewa card ya mchango wa harusi yake na bwana mwingine....nifanye nn mm wanaJF.....Natamani hata niwape pesa watekaji wamuondoe katika dunia hii.......