Nilidhalilishwa sana, ila mambo yamebadilika!

Nilidhalilishwa sana, ila mambo yamebadilika!

“Love is not maximum emotion. Love is maximum commitment.”
― Sinclair B. Ferguson

Nice quatation!

Commitment ina kuja kwa kuangalia umempenda mtu kwa kiwango gan. Bt if ts becoz of just s3x or lust inakuwa rahis kum drop mtu na ku move on!
 
Nice quatation!

Commitment ina kuja kwa kuangalia umempenda mtu kwa kiwango gan. Bt if ts becoz of just s3x or lust inakuwa rahis kum drop mtu na ku move on!

Sexual desire is the captive of maximum emotion(s)...ni kitu ya kuiepuka atii!!
 
Ni hatari sana, ila unaweza ukaona uzur wake kwa sasa! May be mwanzon ulikasirika kuona anapiga kishoka kwenye gar ya mtu mwingine

ila hasira yako ikawa challenge ya wewe kununua gar! Ni positive move japo mwanzon ilikuumiza kichwa.
Ni kweli mkuu...iliniumiza lakini pia ilinipa funzo kubwa sana...na kunionesha maisha halisi..ilinitengenezea pai uaamuzi wa kutafuta zaidi .....iliniuma sana mwanamke niliempenda alichukuliwa kisa alibabaishwa na gari....
 
mkuu ni mahusiano yanaleta changamoto sana kwenye utafutaji! Hasa ukiwa positive kwenye changamoto zinazowazunguka!
 
Sexual desire is the captive of maximum emotion(s)...ni kitu ya kuiepuka atii!!

Ni kweli mkuu, ni jambo la kuepuka kwa afya ya mwili na akili. La sivyo unaweza kuishia kuwa mtu wa hasiri na visiran tu na kujiletea magonjwa ya moyo.
 
Back
Top Bottom