Nilichovuna JF 2011.

yeye kajifunza masaburi na uvinza, wewe ulipomaliza mwaka mmoja ulijifunza nini?
....tena kuna huu ambao nimekumbana nao juz juz tu ktk thread 1 hiv unakwenda kwa jina la "abdalah kichwa wazi"lol
 
Sema chochote mkuu ulichopoteza au kufaidika kwa miaka hiyo kadhaa.....😛oa
atakuwa bado kalala nahis jana alijidunga konyag,akiamka tuu jambo la kwanza ni kujibu hilo swali.😛oa
 
Mm nimepoteza marafiki zangu woote, wa kike wa JF. Hata Preta niliyekuwa nafikia kwake Arusha kanichunia. Huu mwaka hakuwa rahisi kwangu. Afrdenzi ndio hataki hata kuniona. I miss u Afro.
 
duu!!pole mkuu.
 
:focus::focus::focus::focus::focus::focus:
 
Mm nimepoteza marafiki zangu woote, wa kike wa JF. Hata Preta niliyekuwa nafikia kwake Arusha kanichunia. Huu mwaka hakuwa rahisi kwangu. Afrdenzi ndio hataki hata kuniona. I miss u Afro.

jamani jamani....hivi ni kweli.....?
 
wakuu yamebak masaa machache tuu....:focus:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…