Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,235
- 8,965
KafanyajeKazi kushobokea nyuzi na comments za watu. Nimeamua kumpa ban ya maisha
Mi chapa ilaleWewe ni mwanaume au mwanamke
Sasa mbona una tabia za kikeMi chapa ilale
Tabia za kike zinaweza kuitwa baba?Sasa mbona una tabia za kike
We huelewi tu huyo jamaa amekuwa keroSasa mbona una tabia za kike
Baba ni utambulisho tu haithibitishi jinsiaTabia za kike zinaweza kuitwa baba?
Hayaee mnaotaka kuwa wanawake uwanja ni wenuBaba ni utambulisho tu haithibitishi jinsia
Mwanamke wewe ambaye huna kifua cha kiuanaumeHayaee mnaotaka kuwa wanawake uwanja ni wenu
Uanaume ni pamoja na kua na sifa za kianaume na sio jinsia tu peke yake.Tabia za kike zinaweza kuitwa baba?
Mwambie HuyoSasa kulikua na umuhimu gani wa kumpa hii Airtime kwa kumuanzishia uzi?
Huoni kua mpaka hapa,wewe ndio umeonekana kua mjinga zaidi yake? Coz yeye lengo lake ni kutafuta attention na ameipata kupitia kwako!
Jaribu kukaa kiume zaidi,sio kila unacho fanya ukitangaze hata kama ni kitu cha kijinga.
Watakuwa wameelewaSasa kulikua na umuhimu gani wa kumpa hii Airtime kwa kumuanzishia uzi?
Huoni kua mpaka hapa,wewe ndio umeonekana kua mjinga zaidi yake? Coz yeye lengo lake ni kutafuta attention na ameipata kupitia kwako!
Jaribu kukaa kiume zaidi,sio kila unacho fanya ukitangaze hata kama ni kitu cha kijinga.
Hawa ndio wanafanya Wanaume tudharaulike,unakuta mwanaume ila anakua na tabia za kivulana.Mwambie Huyo
Next time I promise to be gentlemenHawa ndio wanafanya Wanaume tudharaulike,unakuta mwanaume ila anakua na tabia za kivulana.