Nilichokishuhudia leo...!

maji ya maiti ni dili sana hasa kwa waganga ambao wanataka kuwarudisha watu kazini waliofukuzwa , vile vile fimbo ya kipofu , kucha za mwehu nk , yaani ni majanga tu

Kumbeeee!!!!!!!!!!
 
hii sasa kali aisee...unaweza jikuta umelala huku umevaa jinzi kama nane kuhofia kugeuzwa rostmaini!!!

Hii sasa ni adhabu kubwa !!!!!!!!!!!
 
Dah!!!! Hii inatisha sana!!! Bora ilikuwa ni nyumba ya kupanga, fikiria kama jamaa ndio alikuwa ameinunua hiyo nyumba kwa mamilioni chungu nzima!!!....ingekula kwake.

Yaani mkuu we acha tu.....
Dunia hii anaijua aliyeiumba tu!!!!!!!
 
Reactions: BAK

Ni kweli
Huyu jama yangu alikuwa ni moja kati ya wale watu waliokuwa wabishi sana kwenye mambo haya,lakini sasa atakuwa ameipata fresh na sasa atajua kuwa kuna ulimwengu mwingine ambao hatuuoni na ki ukweli ni wa ajabu sana
 
kuna jamaa yangu alipata nyumba ila akaambiwa haruhusiwi kwenda chooni mida ya jioni kuanzai saa 12:00 mpaka saa 1:00

Mimi maeneo ya Kijitonyama kwa Ali Maua nilionyeshwa nyumba ambayo masharti yake ni kuwa ni Marufuku kabisa kuleta Kitimoto pale hata kama nikila kitimoto baa siku hiyo niwe makini nihakikishe nimenawa na maji ya moto na Sabuni. Baada ya kuambiwa hivyo mimi huyo nikasepa!!!
 

Mkuu si hua wanasema eti kitimoto ni kiboko ya wachawi?
 
Mkuu si hua wanasema eti kitimoto ni kiboko ya wachawi?

Sijui labda ! Kwani huyu mzee alikuwa kama sikosei Mjumbe wa nyumba kumi lakini masharti yake ambayo yalikuwa yameandikwa / chapishwa vizuri tu na bei ilikuwa nafuu kidogo ukilinganisha na nyumba nyingine za maeneo hayo.
 
Sijui labda ! Kwani huyu mzee alikuwa kama sikosei Mjumbe wa nyumba kumi lakini masharti yake ambayo yalikuwa yameandikwa / chapishwa vizuri tu na bei ilikuwa nafuu kidogo ukilinganisha na nyumba nyingine za maeneo hayo.

Mkuu huyu nadhani kilichomfanya akafanya hivyo labda ni imani ya kidini!!!!!!
 
Mkuu huyu nadhani kilichomfanya akafanya hivyo labda ni imani ya kidini!!!!!!

Baba paroko vipi tena nilitegemea ungepambana nao kwa jina la Bwana wa majeshi nawe ukakimbia hahahaha,kuna jamaa pia alijenga nyumba nzuri mahali fulani wataalamu wakaitenda mambo wapangaji wakiingia wanaona mara nyumba inatimuka vumbi kila namna ya mikasa,wapangaji wakaiogopa ikakaa miaka kadha akatokea jamaa mmoja mlokole wakamueleza juu ya utata wa nyumba yeye akasema hamna shida atatinga,akaenda kumuona mwenye nyumba akamwambia wewe ukiweza kukaa kakae tu hata kodi usilipe....kajamaaa na upako kakatinga full kukemea kwa jina Yesu usiku mpaka maruweruwe yakaisha yule mwenye nyumba alipoona kajamaa kapo tu siku zinasonga kanadunda akaamua kukadai kodi hahahaha.
 
Mshauri rafki yako aokoke alafu arud kwenye hiyo nyumba 2one!!!!
 

Mkuu mbona sikukimbia?
 
Tukio limetokea leo maana hujaenda kazini ukimsaidia rafikio kuhama.
Ila umerudi kwako SAA SITA.
SAA HIZI NI SAA TANO.
Maelezo yako hayaeleweki.
 
Mkuu si hua wanasema eti kitimoto ni kiboko ya wachawi?
hata mim nilishawahi sikia hvyo....tena wanasema ukipata ile pua yake ndo nzuri zaidi.....ila yote ya yote.....YESU KRISTO ndo kiboko yao...
 
Tukio limetokea leo maana hujaenda kazini ukimsaidia rafikio kuhama.
Ila umerudi kwako SAA SITA.
SAA HIZI NI SAA TANO.
Maelezo yako hayaeleweki.
jaribu kuangalia hii post imeletwa lini ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…