Ile ni ili kuwasaidia wenye mahitaji maalumu. Ingekuwa wote tupo "physically fit" zingejengwa ngazi na kazi ingeisha, lakini mule wanaingizwa hadi wenye baiskeli za kusukuma na inawadaidia sana.Mimi hakuna kitu kinanikera kama kuzunguka kwenye Yale mangazi yao unapoingia na kutoka kituoni.Hivi ile ilitikana na design walikoitoa au ilikua watu wapate 10% zao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dada huyo ndio Mimi