Nilichokiona Shinyanga

Hayo ni mambo ya karne iliyopita. Mbeya hakuna baiskel zinazobeba abiria ,, hata vijijin hakuna
Hamtumii Baiskeli sana kwakuwa Maeneo yenu ni milima.. huku ni tambarare na baiskeli ndio usafri wa mnyonge... kwa miaka mingi mno.
 
6. Waendesha daladala hawakushushi mahala hata kama ni mlima atakukokota tu maana upo kwenye daladala.
HAPO SIJAELEWA
 
Hapo kwenye 9# vp madem wenyewe wanalipa au ndio hivyo basi tu ukiwa na njaa huchagui chakula?
 
Hayo ni mambo ya karne iliyopita. Mbeya hakuna baiskel zinazobeba abiria ,, hata vijijin hakuna
Acha hizo kiongozi hii kitu ni kama utamaduni wa mahala husika, Mbona na nyie huko mbeya makanisa ni mengi sana lakini kuuana napia ushirikina ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…