Nilichokiona Shinyanga

Nilisimuliwa kuwa UHOLANZI nako Baiskeli ni nyingi mno .

Kumbe hata SHINYANGA nadhani WAHOLANZI wamewaiga WASUKUMA.
 
Mambo hayo hata huku Mwanza yapo!
 
Buluba Sec pale nilipiga msuli O-level nikaondoka na A ya Physics. Nakupenda shule yangu.
Pamoja sana kiongozi, those days buluba was buluba kweli. Live long buluba,najivunia sana!
Enzi za kina Yegela, mgaliya, ntaganyamba, bundala (rip), maduhu(rip) bunzari na wengineo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…