Nilichokiona safari yangu ya Mtwara

Nilichokiona safari yangu ya Mtwara

Wenyeji bado wanacheza ngoma ya''saka mimba''wamebaki baa bwana somo mi kun'nyima kitu Mungu kanipa bure naogopa bwana wewe naona dhambi.Katika makabila ya watu walio waungwana na wapole makabila ya kusini wanaongoza hadi unaona huruma,Wamakonde ni watu wapole na wakarimu sana basi tu ,tunawachukulia upole wao kuwa ndio ujinga wao,pia sehemu kubwa hawajaenda shule mbali na kujua kusoma na kuandika,pamoja na mapungufu hayo wamebaki watu waungwana sana.Mungu azidi kuwalinda hawa Wamakonde wenzetu.
 
Mida ya saa 6:45 tuliingia Lindi stand, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kusema kweli Lindi si nzuri kama wanavyodai baadhi yetu humu jukwaani. Yaani ni mji wa kizamani sana nimeshangaa sana hawana cha kujivunia may be bahari tu. Tuache hayo gari likasimama kama 9minutes tukaendelea na safari mimi nilikuwa na hamu ya kufika Mtwara kwa Dangote tu.


Siku nyingine nenda Kilosa, wilaya kongwe ukaone
 
Wenyeji bado wanacheza ngoma ya''saka mimba''wamebaki baa bwana somo mi kun'nyima kitu Mungu kanipa bure naogopa bwana wewe naona dhambi.Katika makabila ya watu walio waungwana na wapole makabila ya kusini wanaongoza hadi unaona huruma,Wamakonde ni watu wapole na wakarimu sana basi tu ,tunawachukulia upole wao kuwa ndio ujinga wao,pia sehemu kubwa hawajaenda shule mbali na kujua kusoma na kuandika,pamoja na mapungufu hayo wamebaki watu waungwana sana.Mungu azidi kuwalinda hawa Wamakonde wenzetu.
Ni kweli wenyeji wa kusini ni wakarimu kwa wage ni na hawana ubaguzi. Ila Inasikitisha wanasemwa vibaya sana na wageni badala ya kuwaelekeza. Kwa upande mwingine kwao kupoteza vizuri sana kulinganisha na maeneo yetu tunayoyasifia.
 
Natumaini wengi wetu ni wazima wa afya na waliowagonjwa tuzidi kuwaombea kwa Mungu atawafanyia wapesi. Leo ni Ijumaa kwa sisi waislam twendeni Masjid kumwabudu Allah. Nipo safarini kwenda vocation Mtwara kwa ajiri ya weekend, safari yangu ilianza Temeke mwisho lakini kabla sijakata ticket nilipata mgongano wa mawazo kuhusu basi gani lingefaa kwa safari yangu.

Nikakata shauri nikapanda BUTI LA ZUNGU (Hyutong)ikumbukwe.Basi safari ikaanza nilibahatika kupata siti ya dirishani, muda mwingi niliutumia kuangalia mandhari ya nje huku nikisikiliza good music, tulipofika Rufiji jirani yangu akaniambia "kabla ya daraja hili tulikuwa tunatumia siku9 kuvuka kuja Dar es Salama, tunamshukuru sana mh Mkapa kwa daraja hili". Mida ya saa 6:45 tuliingia Lindi stand, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kusema kweli Lindi si nzuri kama wanavyodai baadhi yetu humu jukwaani. Yaani ni mji wa kizamani sana nimeshangaa sana hawana cha kujivunia may be bahari tu. Tuache hayo gari likasimama kama 9minutes tukaendelea na safari mimi nilikuwa na hamu ya kufika Mtwara kwa Dangote tu.

Tukaanza kuingia Mtwara kwa kufika mnazi mmoja na vijiji kadhaa vya Mtwara. Tulipofika madangwa nilianza kuona jengo refu ndipo nikaambiwa ni kiwanda cha cement cha Dangote. Haikuchukua muda mrefu tulifika Dangote yaani! kusema kweli ni kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa E/A na hata Africa, kuna raia wa nchi mbalimbali. Mida ya saa8 hivi tulifika Mtwara stand, Mtwara ipo vizuri sana pia kuna miradi mikubwa inaendelea kama vile ujenzi wa bandari kubwa ya kisasa.

Kuna maeneo mengi ya uwekezaji naona Wahindi, Wakenya Wachina wanayagombania sana, nimeshuhudia fursa mbalimbali huku Mtwara. Wachaga wazee wa fursa hawapo nyuma naona wamejazana sana utazani Ushirombo.

My take Nyinyi wamakonde msikimbilie Dar es Salaam na kuacha fursa zilizopo mkoani kwenu wenzenu wanazikimbilia mkija kushtuka kumebaki bahari tu.

Karibuni tuwashauri wenzetu wa Mtwara kuhusu mkoa wao.
Kwa miaka ya mwishoni ya 70s hadi katikati ya 2000s mazingira yaliwalazimisha kutafuta maisha mbadala mahali pengine. Katika kipindi hicho kulikuwa hakufikiki kirahisi hakukuwa na zao la biashara, korosho zilikuwa hazipatikani na soko halikuwa zuri, nk. Lakini kwa sasa nyingi ya changamoto hizo zimetatuliwa ingawa kikubwa kwa wahamiaji wa dsm kwa sasa ni kwa sababu ya ukubwa wa jina dsm hapa Tanzania. Maana siku zote watu wanahamia dsm toka miji/mikoa mkubwa ya Arusha, mwanza, Mbeya, tanga, do doma, Moshi, nk.
Kwenye elimu nato bado kuna changamoto kubwa sana kama ilivyo kwa mikoa mengine ya upande wa pwani na jamii za wafugaji.
Ila kwa ujumla, mtwara kwa sasa ni kama miji/mikoa mengine hapa tanzania ukijipanga utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom