Nilichokiona leo Kivuko cha Kigamboni

Tatizo la bongo ni kwamba, hata uibe mabilioni kama uko serikalini utahamishwa kituo cha kazi tu. No more.
 
I am confused. Anapo scan ticket moja tu kati ya kumi, hao wengine 9 wanaingiaje? Mimi nadhani hiyo scanner ndo pia inafungua gate ili mtu mmoja mmoja apite, au sielewi kitu??
 
Wewe n mpuuuz seems ndo umeanza vuka kigambon leo...asubh panakuwa na watu wengi sana aseme aanze mulka moja moja tutakeshaaa... iile riisiti kila itokapo tayar ishakuwa kwa sytem tayar.
 
Kuna watu wanaishi kwenye mijengo mikubwa na kuendesha magari ya kifahari kwa kuwanyonya wenzao. Serikali ipo.
 
I am confused. Anapo scan ticket moja tu kati ya kumi, hao wengine 9 wanaingiaje? Mimi nadhani hiyo scanner ndo pia inafungua gate ili mtu mmoja mmoja apite, au sielewi kitu??

Ndugu, acha kuchanganya habari. Kilichopo pale Feri ya Kigamboni siyo unachokifikiria wewe. Hakuna geti linalofunguka kielektronic!
 
ninyi ndo mnaolisaidia taifa.Cc Manyerere Jackton
 
Jipu Kuu.
 
hujui kibachoendelea wewe. ile inacheki tiket ni original au sio. kwahiyo yy anachofanya anacheki moja tuu akiona ipo fresh badi anajipa hope zite zipo poa
 
Hasa wanapokuwepo watu wengi huwa wanazikusanya, mimi binafsi alichosema mtoa mada nimewahi kukiona kwa macho, hasa traffic inapokua kubwa, lakini nimewahi kuona wanazichana. Sasa kama wanaenda kuuza tena sina uhakika!
Wakikusanya bila kuchana wanauza tena,hicho ndio huwa kinafanyika lakini scanning ni mbadala wa kuchana ili tiketi isitumike tena na wewe ulienunua,yaani usije ukampa mwingine akaitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…