Daaah yaani wanawake sijui wana shida gani jamani yaani mtoto wa mwez mmoja kweli mtu unachepuka unajua kuna vitu vinatia hasira sana kwakwel
Yaani bora kuto kuoa tu....
Yaani nilipata hasira vibaya mnoo.. ila ntahakikisha jamaa anapata haki yake alafu hata wale wenzangu walimuona mzee wakakausha tu cause walimjuaBaada ya kupata maelezo yote hayo ya kijana mwenzako, uamuzi wako wa busara ungekuwa ni kwenda kumchomoa huyo mbilikimo wenu hata km yupo uvunguni na kuhakikisha kijana mwenzako anaondoa dukuduku lake.
Lakini kosa lako ni kusikitika huku muharifu unamjua na umemficha, subiri siku moja nawe ufichiwe muovu wako
Jambo lingine ni huyo mtoto ni wakijana kweli? Inawezekana ni wa huyo mzeeMtoto wa mwezi mmoja, halafu ***** anabanduliwa na vizee[emoji28][emoji28] afya ya huyo mtoto Mungu tu ndo anajua
Afadhali na wewe umeonaHii chai