dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,073
Habari za asubuhi wajenzi wa taifa.. Ninayo matumaini ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku..
Back to the point.
Jana usiku mida kama ya saa 6:30 hivi nilikuwa na wafanyakazi wenzangu watatu tukisubiri mzigo fulani kutoka makao makuu so ilibidi tukae mpaka muda huo ofisini.. Mara ghafla tukasikia mtu anapiga yowe maeneo ya jirani na ofisini ikabidi tutoke angalau tukatoe msaada kwa mtanzania mwenzetu.
Ile kutoka tu tukakutana na mtu mfupi mweusi tii alafu ana bonge la kitambi kavaa boksa tu huku akiwa peku peku anakimbilia upande wetu.
Kwakuwa hatukujua nani anaepiga yowe alitupita huku tukihisi yeye ndo anae hitaji msaada ndipo sekunde chache tukagundua kumbe yeye ndo muovu na ndio anaepigiwa lile yowe.
Kwakuwa alikuwa bado hajafika mbali ikabidi nimshone kumkimbiza.
Yaani hakupiga hata hatua ishirini nikamdaka aiseee sikuamini kumbe ni mfanyakazi mwenzetu tena ni mzee wa miaka kama sitini hivi yaani anahema kama chura.
Akanambia Dracula niachie nimefumaniwa na mke wa mtu nitauwawa ikabidi nimwache asepe.
Ule umati ulipofika pale nikawaambia kwamba jamaa kanizidi mbio kakimbia na kupotelea gizani hapo ndipo nikapata fursa ya kumsikia mume wa yule mwanamke aliekuwa anazini na mzee wetu.
Kwanza mwanamke ana mtoto mchanga wa mwezi mmoja.
Pili amefunga ndoa wiki iliyopita tu walifunga ndoa siku ya jumapili ya pasaka.
Pia jamaa akasema alikuta mtoto wake analia mpaka sauti imekauka kawekwa kwenye sofa huku mkewe akichumishwa mboga kitandani, anadai hayo yote aliyaona kupitia dirishani.
Nilipatwa na hasira maana huyu mume wa huyu mwanamke ni kijana anae hangaika sana kuhakikisha anai hudumia vizuri familia yake alafu anakuja mzee kumto*ea mke wake.
Hivi ina maana huyu mzee hajui uchungu wa mke kweli? Tena mke mwenye mtoto mchanga aisee.
Nawakilisha wakuu ila ningependa mjifunze kitu hapa