Nilichokiona huko kwenye Dv programme lottery

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
326
Reaction score
627
Ebhna kama mnavoona hapo picha hivi hua wanatumia category gan kufanya selection kwamba ni based on country yaaan kwamba wanafanya labda kila nchi ambayo ni eligible wana idadi fulan kutoka nchi hiyo au hua ni random sampling kwamba yawezekana mfano kenya wakawepo applicants lakn asiwe selected hata mmoja katika mwaka husika?


 
Mbn mnataka kumkimbia mama wakati anaupiga mwingi?
Kila mtu hapa anapambania maisha yake mama yeye tayar anaupiga mwingi na waliopata wacha na wao wakaupige mwingi huko kwa biden[emoji23]
 
Kwa hawamu y kwanza n random selected then mchujo wa pili ndo wanaangalia based kweny nchi etc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…