Nyie bhana nilipowaona hamna lolote ilikuwa 2012! Baada ya mfululizo wa ubabe wa serikali ya CCM Arusha, mkapiga bonge la mkwara kwamba JK hana ubavu wa kunusa A-Town, na akikanyaga tu, lazima mumpopoe mawe!! Mi nikaona YES, ngoja tuone machali wa A-Town! Hee!! Siku ya siku JK anatimba Arusha... e bhana eh! Si nyomi hilo!
View attachment 389111
View attachment 389112
Tangu hiyo siku, nimeacha kabisa kuwaamini machalii wa Arusha...!! Tena Mkuu
Shark anadai Singeli inabamba kishenzi pande hizo...!! Sema kwenye mmea, mpo vizuri na kama ugumu wenyewe ni kwenye kula mmea, basi sawa ingawaje huku kitaani kwetu nako, mnh... utafikiri nchi haina sirikali!!