Nilichojifunza Nairobi-Kenya kwa siku 3

Nilichojifunza Nairobi-Kenya kwa siku 3

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,056
Habari zenu wakuu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada bila ya kupoteza muda.

Naomba niwaleteni kile nilichojifunza ama nilichokiona kwa majirani zetu Nairobi Kenya

1. Usafiri. Hapa nawapongeza Sana. Miundombinu ya barabara Ni nzuri na ya kuvutia. Barabara zao nyingi njia 4 adi 6 pia Ni high way. Ukikosea barabara unaweza tembea Kama kilomita 60 ndipo upate diversion. Hongereni kwa Hilo.

Lakini kwa upande wa Daladala maarufu Kama matatu na bajaji zinazoingia katikati ya jiji aisee zinatia kinyaa pale mjini. Jiji kubwa Kama Nairobi hawezekani ikawa na bajaji mbaya Kama zile na matatu zenye sura mbaya Kama vile Kwanza ukizipanda Ni fujo kelele dreva anafungulia mziki unazani upo club. Ni chafu zimechoka na zimechakaa. Wanairobi toeni hizo bajaji na matatu hapo Citi.

2. Kodi Pamoja na Ajira. Hapa pia nawapongeza inabidi na sisi watanzania tuige mfano wao. Nitatoa mfano mdogo tu niliyoona upande wa Kodi na Ajira. Kwenye kondi. Guest houses zote ukiingia unaombwa kitambulisho chako then unasajiliwa na kupewa risiti za machine za ambayo Moja kwa Moja unakuwa umelipia Kodi serikalini. Tofauti na kwetu ukiingia lodge ama hotelini unaambiwa uandike jina mwenyewe na hupewi risiti. Pia Mara nyingi tunadanganya majina yetu sehemu Kama hizo.

Upande wa Ajira nimeona mfumo wanaotumia inamruhusu Kila mmoja kupata pesa na hii upelekea mzunguko wa pesa kuwa mkubwa. Mfano unakuta guest Moja Kuna watumishi zaidi ya kumi na wote wanafanya kazi. Pia sehemu zote za biashara Pamoja na guest House, hoteli Kuna walinzi na hii pia nimeona ni Kama fursa ya Ajira kwa waliyowengi. Hongereni kwa mfumo huo mzuri. Wabongo tuinge mifano yao.

3. Mifuko ya Nylon. Kama mnavyojua kuwa sisi serikali imepiga marufuku hii mifuko ya Nylon Kuanzia June 1, 2019. Lakini kwa wenzetu wao walishaachana na hii mifuko ya nylon kitambo Sana. Wanatumia mifuko ya Bahasha na karatasi laini kupaki chakula yaani Kama take away. Hili pia nawapongeza. Na sisi wabongo tuinge Hawa tusiwe watu wa kulalamika hata kwenye vitu vizuri Kama kuachana na Nylons.

4. Hygiene. Hapa nawapa zero Kama siyo negative zero. Ni ivi wakenya hususani jiji kubwa Kama Nairobi hawajitawazi kwa kutumia maji. Bali wanatumia toilet paper. Ukiingia chooni hupati ndoo Wala chombo chochote Cha kujitawaza Bali unakutana na toilet paper.Njia hii ya kutumia toilet ki hygiene SI salama kwani unakuta baada ya kujitawaza Bado unacha particles za mavi kwenye mkundu. Pia kwa upande wa wasichana Mara nyingi ambao hawajitawazi kwa maji Ni rahisi Sana kupatwa na magonjwa Kama UTI. Pia kunuka sehemu za uke hata mkundu pia kutokana na uvundo wa uchafu.

5. Warembo. Kwa kweli siitaji kuwa mnafiki hapa . Wasichana wa Nairobi wamekomaaa kinyamaa. Sura ngumu kweli kweli. Uweza kaa nusu saa Bila kuona binti mrembo

6.Mirungi Ni Kama fasheni Nairobi. Wanume wa Nairobi wanatafuna mirungi kuliko wanavyowatafuna demu zao. Ivi ninyi mademu wa Nairobi Ni kweli mnaenjoy mapenzi ama romance kutoka kwa waume zenu Hawa wanaotafuna mirungi?

Mwisho. Kwa mazuri tujifunze na kuiga kutoka kwao pia wao waige Yale mazuri kutoka kwetu.

Nawasilisha.
 
Kuhusu Swala la kutokutumia maji sio Nairobi pekee yake mkuu,... Ukienda Congo, Zambia, Zimbabwe, Botswana, South Africa na baaadhi ya nchi nyengine.hizo nilizo Nchi nilizozitaja nimezitembea kwa nina Experience nazo, ..nikipata demu nikienda nae home lazima nimpige maji kwanza ya kutosha yaani tunaoga pamoja ili ni enjoy pezi la sivyo ni mwendo wa kula papuchi huku unafumba pua
 
Kwa upande wa barabara sio kweli kuwa ni pana labda za katikati ya jiji nairobi na kuhusu warembo wapo wazuri wa pembezoni wa mjini kama kirigori na heisibania na huko gharama za maisha ziko juu na pesa sio ngumu kama ilivyo tz kwa sasa ukilinganisha jinsi walivyo jiwekezea sema hujatembea sana umeishia kuangalia maghorofa na wapita njia na sio maisha yao halisi ulishawai kuona ukitembea mile moja filling station tena moja au mbili ya kishikaji huwezi kuta wanauza mafuta kwenye vichupa na pepsi zipo zinatumika kama Kawa labda ulivyoona super market mkuu lai yangu fanya uchunguzi tena........utupefeedback
 
Kuna wakati inapendeza kuleta na wewe kile ulichoona ukiwa huko siyo kubeza alichokiona mwenzako.
 
Ili kukienzi Kiswahili chetu jifunze kutumia tafsida.... Ukienda haja kubwa au ndogo, kubakiwa na kinyesi njia ya haja kubwa nk.... Sawa? Kumbuka rais JPM yuko bondeni anapiga ndogo ndogo ili muende kufundisha Kiswahili... Sasa hii mambo ya Mavi, Mkund etc hapana aisee
 
NJIA YA HAJA KUBWA - hiyo ni sentesi sio neno moja. Huko SA mtakua mnageuza maneno kuwa sentensi, Kwani MKUNDU sio Kiswahili? Kujifanya unajua kumbe sifuri.
 
Back
Top Bottom