Nilichojifunza kwa Niffer

Niffer ni mrembo toka lini?
 
Labda dada zako ndo wajifunze kutoka kwake huyo "Niffer"


Kainama sana mpaka kufika hapo
 
Kuna video nimeona anapigika behind aisee ni hatare
 
KUmbr anahongeka vizuri huyu demu.

Kama utajiri wake ni around 150M kumbe naweza kumtoa vacasheni na nikatumia naye 50M tu akaniona bonge la bwana.
Utajiri wa niffer una range million 700 - 1 billion
 
Niffer Huyu huyu aliyesema alianza biashara na mtaji wa elfu arobaini eti leo analaza zaidi ya milioni mia na hamsini?
Aweke bank statements na financial reports tujue kama ni kweli
 
Kama umejifunza basi anza kufungua ma biashara kama yeye tukuone kama ulielewa somo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…