hahahahaaaaaaa!!!! nafurahi sana watu kuukataa ukweli, unaficha ndizi za kuiva watu wasizione ilihali unajua zinatoa harufu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoa mada inaonekana kama unataka kuuaminisha umma kuwa kila mwenye mke au mwenye mume kashawahi ibiwa.Napinga hoja sababu sio wote wapo hivyo unavyoamini wewe.