Nilichojifunza kutoka kwa wengine

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,503
Reaction score
2,277
Habari wana mmu,
Kwa uelewa wangu maisha ya sasa ya mahusiano yako hivi:-

1.Suala la usaliti ni la kawaida, Mtu kuchapiwa au kuchapa mke wa mwenzako jambo limekuwa kawaida sana hili kama vile kusimamisha bajaji isiyo na mteja...

2.Hata uwe mkamilifu vipi katika mahusiano utasalitiwa tu, labda mkaishi Pluto mkiwa wawili tu

3.Ukiwa na elfu 50000 unatafuna mke wa mwenzio kiulainiiiiiiiii

4. Hata uwe na pesa nyingi, walinzi wengi na mengineyo mengi......wahuni watakuibia tu

5.Yani point zimeisha ila sie wageni tunaoelekea safari ya ndoa tujiandae kisaikolojia

Hitimisho: Pesa, sio sababu ya kumfanya mtu atulie, hata aweje au iweje usaliti upooo!!!! haiwezekanani uishi nae miaka 10, halafu asichepuke ke/me hahahahaaaa
................karibuni..........
 
Hahahahahaaaaaaaa! usijitoe ufahamu,, haya mambo bila shaka unayajua ila nimekumbusha tu![emoji41][emoji41][emoji41]
MKUU HIVI NI VITISHO NA UCHOCHEZI WA KIMAHUSIANO.
Acha kutisha watu na porojo za asubuhi asubuhi
 
Manina blue monday hii hapa masihara masihara mara mwezi wa tisa umekata ngoma Disemba hiyo na watoto wanataka kung'aa krismasi na January inakuja.

But fuc k all that. Hii ni saa kumi na mbili alfajiri na ni jumatatu yetu ya kujadili ndoa na kuzini.
 
Akili yako ya mjini usiifananishe ya wanoishi kijijini. Unaaminisha watu kuwa ni LAzima uchapiwe. kama umechapia wake za watu jua huyo ni Malaya Ila sio kila mwanamke yuko hivyo dunia hii.. Kwa akili ya kawaida waeza sema pia hakuna mwanamke mwenr miaka 25 na ni bikra ila uhalisia bado wapo sema research zetu twafanya mjini kwenye kila ushenzi.. Pia sijui kama unajua maumivu ya mke mana unavyotaja hiyo kuchapia na kuchapiwa kama vile simple sana
 
Pole kwa kuumizwa. Ninachofurahia ni kwamba umetoka na fundisho sio maumivu katika hiyo situation...
 
Mkuu acha kujipa moyo na kuifurahisha nafsi yako wakat ukweli unaujua ...mtoa Mada yuko sahihi ...sahv mambo yamebadilika
 
Wewe Jisifie tu kuchepuka na wake wa watu, ila tambua kwamba kuchepuka na mke wa mtu ni Sweetest poison of your life.
 
Unajidai kama vile unatoa ushauri kumbe unataka kuwaaminisha watu upuuzi!!? Nasema HAIWEZEKANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…