Nilichojifunza kutoka kwa Mandela

Sep 17, 2013
29
7
Wakati maombolezo na wasifu wa komredi Madiba vinaendelea nimejifunza jambo moja la msingi ambalo ni msamaha, mipaka yake na mambo ambayo yanasameheka na ambayo katu hayasameheki ( kama vile mfungwa wa mauaji asivyopata msamaha wa rais).

Kwa kifupi ni kwamba mkeo kupigwa nje ni dhambi isiyosameheka na haipo katika zile unazoweza samehe mara saba sabini. Ndiyo maana mzee Madiba alisamehe watesi wake wote lakini si Winnie Mandela.

Naomba kuwasilisha.
 
Na hata Wazungu hajawafukuza nchini Afrika Kusini, zaidi ya kuwapa msamaha na kuendelea kula maisha kama kawa!

Ila Wasauzi naona kama wameathirika sana na Apartheid!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom